Wadada Mungu anawaona.

Wadada Mungu anawaona.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,602
Reaction score
35,353
Kuna mdau alikuwa na genge lake hilo limesheeni vitu vingi sana mpaka ukipita karibu una hamasika kununua.

eeh wadada bhana si wakaliona

eeh hilo genge halitamaniki vitu vyote kafilisiwa na wadada wote wamemkimbia.

Kuweni makini sana na ivi viumbe.
 
Mungu atusaidie kizazi hiki yaani mtu unahonga hadi unafirisika??

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Ata mimi kuna kijana namfahamu alpewa mtaji na ndugu zake akawa kweny mahusiano na bint kila siku mwanamke anabadlisha smart phone sasa kafiliska kamkimbia
 
Kuna mdau alikuwa na genge lake hilo limesheeni vitu vingi sana mpaka ukipita karibu una hamasika kununua.

eeh wadada bhana si wakaliona

eeh hilo genge halitamaniki vitu vyote kafilisiwa na wadada wote wamemkimbia.

Kuweni makini sana na ivi viumbe.
Wadada walimpora siyo?.kama panya road hivi.au alifanya bata trade badala ya kupokea fedha alipokea vingine.Wauza genge acheni ujinga.mbona mangi haibiwagi hivyo
 
Mi nina duka langu la vipodoz huwa nafungua jioni nikitoka mihangaiko mingine na weekend, huwa kuna wanaokuja na hadi na kanga tu, washaniita majina kibao mi nawachora tu! Mtu hata aje kapungukiwa na mia mi namuwekea sura ya kazi tu! Na hivi duka lipo uswazi basi nawanyoosha tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom