Daaa! Huyu demu jamani

Daaa! Huyu demu jamani

super black Boy

Senior Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
135
Reaction score
169
Daaah!! week mbili kama zilizopita kuna demu moja hivi alihamia mahali nilipopanga, kwa kweli demu ni mzuri yaani nimetokea kumuelewa vibaya mno.

Huyu manzi huwa ananisaidia sana kwenye issue za msosi maana naweza nikanunua mboga then yeye anafanya makeke huko baadaye mzee mzima napakuliwa nakaribishwa. Na ukiangalia mimi hapa nakaa peke yangu so sometimes kupika huwa nachoka sana so kuja kwake nimeona kama ni mkombozi kwa kweli.

Tatizo ni kuwa demu nimetokea kumuelewa lakini sasa ananiambia ana mtu wake na anampenda sana lakini nikajaribu kumuambia tutoke out za usiku wala hakatai na hapa ametoka amesafiri na nimemwambia akirudi nitamtoa out twende tukale dinner na kusikiliza music katika moja ya pub nzuri sana hapa town.

Wale wataalam wa mbinu za kufanya huyu demu aje anielewe nifanyaje jamani roho yangu itatulia nikiona nalala naye kitanda kimoja kuhusu kama kweli ana mshikaji wake mimi I don't care kabisa maana haya maisha ni kama mbio za kupokezana vijiti.

Nawatakia siku njema
 
Chawa dawa yake kuvunjwa katika kucha za vidole gumba ndipo amani utawala mwilini. Yakayo kupata baadae, usije kututungia hadithi za huzuni ama sononeko.
 
Hiyo Dada hana kazi ya kufanya mpaka apate mda wa kukupikia, yaani unamaanisha ni mama wa nyumbani?
 
Hiyo Dada hana kazi ya kufanya mpaka apate mda wa kukupikia, yaani unamaanisha ni mama wa nyumbani?
Some Women just love to Cook.
Nimeshawahi kua na jirani wa kike kama mtoa mada.
She had other responsibilities, lakini mwisho wa siku akipika lazima na mimi niwepo kwenye share.
Na nikikataa she feels bad.
Soo it was never an option.
 
ni mwanafunzi diploma mwaka wa pili chuo X ndo wamerud kutoka likizo so muda mwingi anakuwa magetoni so mzee baba napeleka mboga nayojisikia kula then anakorofisha
Hiyo Dada hana kazi ya kufanya mpaka apate mda wa kukupikia, yaani unamaanisha ni mama wa nyumbani?
 
Tatizo vijana wa siku hizi mna haraka sana. Unataka siku hiyo hiyo umpe msneno,halafu ukagonge siku hiyo hiyo. Unaweza kumkosa mazima kwa haraka hiyo. Demu ameonyesha kila hatua kwamba utamgonga mbeleni. Lakini haraka zako
 
Back
Top Bottom