ukimwi, banzoka na kupoteza tumaini la maisha kwa wanawake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukimwi, banzoka na kupoteza tumaini la maisha kwa wanawake!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwana wa Mungu, May 30, 2010.

 1. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Najua niko ambiguous, lakini nilitaka iwe hivyohivyo!

  nilishawai kuweka contribution ya post hapa, mmoja akaniomba ile post niiundie thread kwasababu aliona ina mafundisho yanayoweza kuwasaidia wengi, na pia, ni kitu cha kweli from original source. the story goes on like that:

  Nilishawai kumhoji mdada mmoja ktk mkoa wa mbeya, yeye ni mwenyeji wa Dsm, kule mbeya alipelekwa kufanya kazi ya ubaa medi kwasababu, alichukuliwa pamoja na wadada wa ohio street ili kuvutia wateja kwa kuuza bar na kuuuza ngono. ni mdada mzuri sana, mweupe na akivaa kimini lazima atababaisha wanaume wengi.

  kwa kifupi, pale mbeya SAI kuna bar moja hivi ilishawai wakati inafunguliwa ilishawai kukusanya malaya wengi toka Dar ili kuvutia bar, na ilikuwa inajaa. biashara yenyewe ili kuwa hivi, wale wadada wakikuambia "unataka bia au soda" bia ina maana ni kinyume na maumbile, soda ni kawaida. bia ni shs 50,000 na soda ni chini ya hapo...yeye alisema kwa wiki alikuwa anafanya bia na soda mara nne, hivyo aliweza kuendeleza kazi hizo kwa muda mrefu.

  alisimulia wale watu wa magari ya ukanda wa gaza kuwa, ukanda wa gaza huwa ina maana kufanya uchafu huo kinyume na maumbile....na kwenye semina mbalimbali alizokuwa anapita akishuhudia, alionya wasichana kuwakimbia hao watu wa ukanda wa gaza.

  tulimwuliza pia kuwa, kwanini machangu huwa wanaweza kufanya ngono na watu wengi siku moja bila kuchoka sana...alituambia kuwa, huwa wanaenda kwa waganga wa kienyeji kuchukua dawa, na pia dawa baadhi za masai...dawa zitakazofanya mwanaume akiingia tu, anacheka mapema na mshiko ashachukua kama akiamua kurudia tena hela ndo inazidi kuingia. dawa izo huzipaka, au kiingiza kama kijiti fulani hivi muda fulani kabla....wengi mnazijua hizi...kuna wamama wengi tu wanapitisha mtaani kwaajili ya wanawake waliozaa ili waume zao waone ladha ile ya mwanzo...na huwa inawalevya kabisa wanaume na kuona kuwa machangu watamu sana, kumbe jini/dawa inawafumba akili...cha kuelewa ni kwamba, wanatumia dawa za kienyeji kukufanya uone kama unaridhika, kumbe huelewi...ndio tabia za majini hasa wale wanaolala na wanadamu, ndo wako ivo.

  mtu akitembea sana na machangu, hayo majini ya kucheka mapema, au hata akili yake inajiswitch kucheka haraka, na ndo matatizo lukuki ya wanaume siku hizi.

  finally, alituambia alifanya kazi hiyo kama miaka saba, baada ya hapo, alishanyong'onyezwa kabisa, alipoteza break nyuma...ile ring ya kukontrol iliisha nguvu kwahiyo hakuna break ya kutoa harufu mbaya wala ya kujisaidia...inampa shida na akiliri wazi na kueleza mengi...pia alisema, hata kama usoni alikuwa mzuri, wanaume aliokuwa amezoea wanakuja kunywa na kuwa wateja, walianza kupoteza hamu naye kwasababu anasema amekuwa extremly loose kotekote, hivyo wakahamia kwa wale wanaoanzaanza..yeye akawa hapati wateja, maisha yakawa magumu na kwenda kupima ana ngoma, ametumia madawa na ukimwangalia unaweza tuma posa nakwambia..ila ana matatizo lukuki.

  alikuwa anawashauri wanaume kwa wanawake, kutojihusisha na umalaya, na zaidi, kufanya uchafuhuo kinyume na maumbile, kwasababu anatamani laiti kama angerudi hali yake ya kwanza angekuwa mwanamke halisi kama wengine. anajuta anajua. wengi tunaelewa kuwa jambo hili huwadhuri wanaume kwa wanawake pia, wanaume wengu huziba mirija yao na wengine wanaanza kukojolea kwenye kidumu kwasababu ya mambo kama haya, wanawake wanapata madhara mengi, na zaidi ya yote, dhambi hii huwapeleka watu motoni. NIMEANDIKA SI KWASABABU NAHUBIRI, nimeongea ukweli, na nafikiri inaweza kuwasaidia watu fulani kuacha hii kitu au kuikemea. Mungu awasaidie.
   
 2. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Asante sana Mwana wa Mungu
   
 3. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana mkuu ni nzuri na nimeipenda naamini itapata publication na michango ya kutosha kwa sababu ni zaidi ya simple reseach yenye contents za kutosha sana matatizo haya siku hizi hukumba watu wengi sana tunapaswa tujihadhari na tamaa za kimwili na shinikizo la uchumi.
  thank you!!
   
 4. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Hii ni maalum kwa mafundi wa DAWASCo na wale mwenye mirija inayowasha kiasi cha kutaka kuzibulilwa kila wakati. Kazi kweli kweli
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mafundi wa dawasco? mirija kuzibuliwa kila wakati?.......

  Actually wandugu, ukiona u mzima siku hizi shukuru Mungu, na jitahidi kujitunza kwa namna yoyote ile, kwasababu iyo opportunity ya uzima na ukamilifu uliyo nayo ikipotea unaweza usiipate tena...kuna watu wametanua duniani hapa, wakachezea maisha vya kutosha, sasa hivi wanajilaumu na wanatamani laiti kama miaka ingekuwa inarudi nyuma waanza maisha upya...lakini ndio ivyo tena haiwezekani.
   
 6. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Inasikitisha
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  haya sasa nyie mliozoea kuchukua machangu, mkipatwa na tatizo la kukohoa mapema mnakuja hapa kulialia, kumbe mliyataka wenyewe.watawawekea dawa hadi akili zenu ziwe kama za machizi.
   
 8. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280

  ahsante!
   
 9. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwana wa Mungu hii nimeikubali, tatizo la vijana siku hizi wanaona kama fashion kwa hii mitindo ya kufanya mapenzi kinyume cha maumbile. Hii ni pamoja na mahubiri, matangazo,maonyo yote kuhusiana na ugonjwa wa UKIMWI. Hivi huu ugonjwa usingekuwepo, kwa kasi hii si tungechomwa wote?

  Asante sana.
   
 10. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni kweli, uu uchafu unakua kwa kasi kubwa sana tz kwasababu ya teknolojia ya habari, miziki ya taarab inayofumba maneno ya kiswahili uchafu mtupu na miziki mingine inayofanana na hiyo. imefika kipindi watu kwasababu amesikia saloon kwenye kusuka nywele, anathubutu kufikiri kuwa akifanya uchafu wa mlango mchafu, ndo anakuwa anailinda ndoa yake...ponography inaharibu zaidi watu,...watu wengi wanatumia internet siku hizi na wanaweza kuona chochote watakachoamua....lakini madhara yake ni makubwa kiroho na kimwili..heri mwenye masikio ya kusikilia na asikie...

  hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho mtakatifu? kama mkiharibu miili yenu, Mungu naye atawaharibu ninyi..ndo Neno linavyosema..
   
Loading...