Hivi huyu ananipenda kweli?

Hivi huyu ananipenda kweli?

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Imetokea Nina mpenzi hafanyi juhudi zozote za kunitafuta hata SMS wala simu mpaka Mimi nimtafute, akiwa nashida au akiwa na shida ndio ananitafuta cha ajabu kanitambulisha kwa marafiki zake wote, hata sielewi kama ananipenda au nishoo off za town.

Miaka karibia miwili sijui anapokaa nikimtafuta nimtembelee yupo bize ila out yupo free, nimekata kutoka nae out karibia mwaka sasa naona kama ananipotezea muda.

Upendo wa kuwa namimi anaonesha marafiki zake tu
 
Imetokea Nina mpenzi hafanyi juhudi zozote za kunitafuta hata SMS wala simu mpaka Mimi nimtafute, akiwa nashida au akiwa na shida ndio ananitafuta cha ajabu kanitambulisha kwa marafiki zake wote, hata sielewi kama ananipenda au nishoo off za town. Miaka karibia miwili sijui anapokaa nikimtafuta nimtembelee yupo bize ila out yupo free, nimekata kutoka nae out karibia mwaka sasa naona kama ananipotezea muda. Upendo wa kuwa namimi anaonesha marafiki zake tu
Big boy. Jina linaleta ukakasi sanaa
 
Acha Kupoteza Muda Wanawake ni Wengii kuliko unavyofikiria

Nenda kwenye uzi wa kula Tunda kimasiara kula Tunda La rafiki yakee atakusimlia ukweli Wote! Kutambulishwa sio Sababu
 
Hakupendi kabisa, yan huyo achana nae tu. Hawez fanya vitu km hivyo, inauma sana
 
OnlyLengendsKnows.
IMG_20191127_130135.jpeg
 
wanawake wenye pigo za hivo wala hawawagi wakali sana basi tu ndo maana anakunyonya haswa akumalizie vipesa kidogo mkuu.....

Pia hujasema kama umeila hiyo quuuumer kwa hii mwendo elekea hujaila

shtuka mkuu!!! wewe mpotezee usimcheck akikucheck usijibu mpaka baada ya saa unamwambia umetingwa au usimjibu kabisa yani mtu unamhudumia akiwa na mashida yake alafu pia unamnyenyekea duh

Kuna msemo wazungu wanasema try to be strong and live alone because the person. Who you can't live without can live without you
 
pamoja mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom