Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Mwanaume hutafsiri heshima kama mapenzi hivyo kadri anavyoheshimiwa ndiyo anavyoona anapendwa zaidi wakati mwanamke anahitaji kujaliwa, kusikilizwa na kubembelezwa ndipo atafsiri Upendo. 2...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Sihitaji mwaliko wa sikukuu wa online.. Haiwezekani mambo yote yawe online tu; kuchat online, kutuma ujumbe online, ku-fake maisha online, uchumba wa online, Mapenzi ya ki-online n.k. Hapana...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hapa kwetu tuna jirani yetu anaitwa Victor ambaye ni mshikaji wangu sana. Victor ana mke anayempenda sana. Amemfungulia biashara lakini pia amemnunulia gari aina ya mark x. Nikiwa nipo maeneo ya...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Huyu mrembo simuelewi, Ananipigia simu muda wa majeruhi kuanzia saa tano usiku na kuendelea tena kwa 'video call' huku akiwa kama alivyokuja duniani.Wakuu huyu mdada ana uzalendo kweli..kwa afya...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Nilimpata Mke wangu kwenye platform hii! Lakini amekuwa pasua kichwa mno Akikosa inabidi nimwombe msamaha Leo nimekuta chati ndefu ya kimahaba na mwanaume mwingine whatsapp. Nimemwomba simu yake...
5 Reactions
117 Replies
11K Views
Tugombane Mimi na wewe na uamue kuchukua maamuzi ya kunipeleka kwa bosi wangu. Lengo lako ni -Nifukuzwe kazi? -Tugawane mshahara? -Kujitongozesha kwa bosi? Ushauri: Tukigombana na tukashindwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika msururu wa barua kutoka Afrika, mwandishi Zeinab Mohammed Salih anaangazia swala la ukeketaji kwa mara ya pili nchini Sudan. Baadhi ya wanawake nchini Sudan Kusini wameamua kufanyiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF... Moja kwa moja kwenye mada, kumekuwa na maswali ambayo watu walio kwenye mahusiano, waliowahi kuwa kwenye mahusiano na wanaoingia kwenye mahusiano yanawatatiza na kuwapa wakati...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Wana jf habari zenu? Mwenzenu nashindwa kuelewa hili. Ni miezi saba imepita tangu tutengane na boyfriend wangu. From no where, akanitafuta kwa simu tukaongea mengi na bla bla bla nyingi. Baada ya...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimekuta leo kuna jamaa anasemwa vibaya kisa chakula nikaskia uyu jamaa kazi yake nkupita tu kwenye majumba ya watu kudoea chakula leo utamkuta nyumba hii kesho hii yan ni bora mtu ukaa na njaa au...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wana JF habari za uzima Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda sasa japo sijashiriki nae sex. Nimemuahidi kumununulia zawadi je, ni zawadi gani ambayo ataipenda Na isiyo na bei kubwa...
4 Reactions
193 Replies
21K Views
Getting into a new relationship is like getting tickets to a destination that you know nothing about. It’s exciting yet nerve-wracking. Think of your relationship as a train or bus that is taking...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale. Nijikite kwenye mada bila kupoteza wakati nimekuwa nikiona watu wengi wadhifa wao kudharaurika kwenye ngazi ya familia mpaka jamii nzima kwa ujumla...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Za Asubuhi?! Jamani mimi ni mwanaume mume wa mrembo niliyekubali kuishi naye mpaka kifo changu. Nina miaka kama minne ya ndoa. Mke wangu amekuwa akisisitiza sana kuwa tuinvest kwenye ardhi...
20 Reactions
147 Replies
17K Views
Kama sio mgeni na jamii forum, utakubaliana na mimi kuwa kumekua na utitiri wa nyuzi nyingi watu wakijinasibu kula matunda kilaini, lakini ni imani yangu kuwa lazima kutakua na upande ambao wote...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari ya muda huu wadau. Mimi ni kijana mwenye miaka 27. Ni mzaliwa wa mkoa wa iringa lakini kwa sasa Nipo mkoani morogoro wilaya ya kilombero mji wa Ifakara. Nina shahada na nimeajiliwa hapa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Heri ya week-end, Wakuu? Baada ya salaam na tuendelee kuchangamsha akili sambamba na kuburudika pamoja. Swali/Je!Wakati tunapofanya mapenzi (Sex) kwa mwanaume na mwanamke kuna anaepata raha zaidi...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Ivan passed away because he was stressed by Zari and Diamond relationship. Hakunaga kitu kinatuuma wanaume kama kuona mwanamke aliyekuwa loyal kwako now she has taken by another man and she is...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Wadau salamu zenu ziwafikie kila mmoja kwa heshima anayostahili. Nimewiwa kushirikishana nanyi hiki kidogo kiwe kama kihuisho cha nguvu mpya kwa wale wenzetu ambao pengine wanataka kukata tamaa...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna binti tulikuwa nae kwenye mahusiano bila kufanya ngono akaniambia ni (bikira) Sasa siku tumefanya nae mapenzi sikuuona huo ubikira na amekuwa ananga'ngania kuwa mimi ni mwanaume wake wa...
4 Reactions
97 Replies
10K Views
Back
Top Bottom