Diamond apewe ushauri nasaha vinginevyo ataishia kuwa kama Ivan

Diamond apewe ushauri nasaha vinginevyo ataishia kuwa kama Ivan

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,837
Ivan passed away because he was stressed by Zari and Diamond relationship. Hakunaga kitu kinatuuma wanaume kama kuona mwanamke aliyekuwa loyal kwako now she has taken by another man and she is happy. Maumivu huwa maradufu pindi mwanamke husika anapokuwa amekuzalia watoto.

Toka Zari aondoke Mond hajafanya ngoma yoyote kali ya yeye mwenyewe ukiachilia Nyegezi na Tetema feat Rayvan.

Kajaribu kurudi kwenye game kwa kiki ya kumtukana Zari ngoma imebuma.

Kiki imempaisha zaidi Zari. Akiwa haamini kinacho endelea mara Mengi kafariki . Msiba wa mengi ukazima kiki ya ngoma ya mond. Dogo kaona afukue ngoma ya mwaka 47 bahati mbaya na yenyewe ni ya kawaida tu. Ujio wa zari bongo umezima kabisa ngoma hizi mbili za mond na soon am telling u mond atatoa ngoma mpya.

Zari anafanya interview na Milard anasema ana mpango wa kuongeza watoto wengine na mume wake mtarajiwa na basically she want to have twins cause her new hubby to be has only one kid and he want to have twins.

She is not thinking about Mond at all. She has already moved on.

Am telling u Diamond anaweza kufuata njia ya Ivan.

Stresses za mapenzi mbaya sana.

# Usimuache kwa kubeeep mwanamke ambae bado unampenda.

# Usishindane na mwanamke kukomoana kimapenzi.

Huu uzi ipo siku utakuja kufukuliwa hapa.

Watu wa karibu na Mond mpeni kijana wenu ushauri huu.

Kama vipi apige magoti hadi south
 
Kwani views kitu gani?

Watu wanaview sababu ya ukubwa wa jina la jamaa ila honestly ngoma zake sio zile za level yake.

Hizo ngoma mbili hazifikii zile za EP ya Harmonize hata moja.
U have spoken my mind bro
 
ww kama ni mwanamke punguza umbea,,,,kama ni mwanaume basi ni shoga,,unapulizwa,una fumuliwa,
 
Inashangaza sana kuona mwanaume anafuatilia maisha ya mwanaume mwenzie
 
Sijui km umegundua umeandika hisia zako sio fact.

Tusilogane tu
 
Back
Top Bottom