Mkunwa na mkunaji muona raha ni nani!?

Mkunwa na mkunaji muona raha ni nani!?

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,618
Reaction score
2,270
Heri ya week-end, Wakuu? Baada ya salaam na tuendelee kuchangamsha akili sambamba na kuburudika pamoja.

Swali/Je!Wakati tunapofanya mapenzi (Sex) kwa mwanaume na mwanamke kuna anaepata raha zaidi ya mwenzie!? Na kama yupo ni yupi!? Me au Ke, na kwanini aburudike zaidi ya mwenzie!?

Kumbuka nimeuliza anaepata raha zaidi na si anaepata raha tu, nikiwa na hakika jinsia zote mbili Me na Ke tunaburudani tunayoipata.

Pendekezo: Kwa kutambua si rahisi kwa jinsia moja kufahamu kwa undani ya jinsia nyingine ingekua vyema kila MTU akaekezea kwa upande wake jinsi unavyofaidi, kisha tuoanishe ya upande huu na upande ule ili tupate jibu lisilo na shaka.

Ahsanteni.
 
Itakuwa anayelipia Mahari ama anayeenda kuinunua, kuilipia chumba na kutoa pesa za nauli irudishwe ilikotoka, wengine wanaijengea kabisa ili aimiliki, na wengine wanauwa kwa ajili ya hiyo kitu..asiyeipenda K basi K
 
Wanawake we are luck katika sex hasa ukiwa sexual active, ukiwa unatoa ute wa kutosha na kuweka mawazo yote ktk tendo tuna-injoy sana maana kwanzia mwanzo inapoingia mpka mwisho na tunauwezo wa kukojoa hata mara3 kwa mwendo mmoja wa mwanaume, wanaume mnainjoy sekunde chache tu na zikizidi mwafwa...[emoji23][emoji23][emoji23]ndomana mnapenda sana sex maana mnafukuzia zile sekunde za kukojoa.

am better here
 
Mwanamke aisee, kuna mmoja nilimgegeda akiwa kibo anageuza macho kama anataka kurest in peace.
Mkuu, iweje iwe hivyo wakati sisi ndio tunaoigharamia,kupenda zaidi mchezo na kuwa wakali tunaponyimwa!?
 
mkuu kwa mfano kuna ule ute mwingi mnaotoa mfano pale nikicheza na kisimi na mkono ndo kukojoa hapo pia ?
Hapana mkuu ule ni ute wa kumtayarisha ili kumwingilia kiurahisi....

am better here
 
Back
Top Bottom