Hivi kwanini chakula kinaweza kumfanya mtu adhalilike

Hivi kwanini chakula kinaweza kumfanya mtu adhalilike

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
Nimekuta leo kuna jamaa anasemwa vibaya kisa chakula nikaskia uyu jamaa kazi yake nkupita tu kwenye majumba ya watu kudoea chakula leo utamkuta nyumba hii kesho hii yan ni bora mtu ukaa na njaa au ukashindia hata mihogo kuliko kula chakula cha mtu maana thamani utu inapotea kabisa mimi ndo maana nkienda kwa watu sili chochote bora nionekane naringa kuliko kuja kusemwa vibaya
 
...................Umaskini tu watu weusi wanauendekeza sometimes,unamnyimaje mtu chakula ambacho atakula kwako kwa siku moja tu na si siku zote?Kama mkaaji ndo mbaya ila haihalalishi umnyime chakula muhimu mpangie majukumu hapo kwako ya kufanya ili kumchangamsha ubongo wake.
 
Najua mtanisema vibaya ila nyie mnao tetea utakubali usikie ndugu yako /kakaako/mdogoako amezoeleka kwa tabia hiyo???
Anategea mida ya kula ndo anapita nyumba za watu ?Chamaana anachofuata hana anatengewa anakula anaondoka? Na imekua patern hadi watu wamezoea mnafikiri ni tabia njema?
Kama anashida ya chakula ni bora afuate mtu anae muamini na kumueleza tatizo lake atasaidika lakini haijengi picha nzuri kuhangaika kwa nyumba za watu kisa chakula, anaaibika na watu wake wa karibu pia.
Ofcourse sisemei kwa maana ya uchoyo, ila tu haijengi picha nzuri. Kwao hashibi? Kama anaishi mwenyewe hana budget ya chakula au pesa yake inaenda wapi?
Lakini pia kwenda kwa watu bila appointment, anakuta chakula kimepikwa kuwatosha wenyewe yeye ukifika wanajipunja ili wampe ;anawekewa kidogo mwisho aseme hawa watu wachoyo.
Tabia aliyojijengea sio nzuri. Mara moja moja inaeleweka... Ukiona watu wanaongea amezidi
 
Umeongea point kubwa sana mkuu kunywa pepsi kwa mangi kwa bill yako
 
Umasikini huo+roho mbaya,.chakula kama unacho kula na mwenzio na yeye apate angalau kwenda msalani kusalimia,kule nako kuna raha yake jomoniii unapata wasaa wa tafakuri mbili tatu ukiwa pekeako,.yani bora nimnyime mtu nauli atembee tuu kwa miguu,.sio chakula..loh!!!
 
Inategemea ipo katika mlengwa upi,km mtu anakueleza ananjaa anahitaji chakula,utaanzaje kumnyima? lakini sio mtu anakuja Kwa kutegea mida maalumu na akishapata msosi anasepa...hyo inakuwa miyeyusho
 
Asiefanya kazi na asile. Kila mwenye nguvu ale kwa jasho lake(alichokifanyia kazi).
 
Sasa hyo anadowea unamtetea vip kwanza so tabia nzur au nyie kwenu mlifundishwa hvo
 
Mm sio mchoyo ila ukifika kwangu sasaba mchana na ukupiga cm niwe mkweli wala siingii jikoni mara mbili ata kama dada wa kaz yupo nayeye pia ni binadam wala sitamwambia apike utakula kama kimebaki kama hakipo bas utasubir diner..kina watu wana tabia mbaya sana..majuz jumapili alikuja mgeni hom eti katoka mbez na ana watoto wawili wakubwa tuu alifika sanane mchana sasa mtu kama uyu ukimnyima msosi si lawama tuu...kafika watoto wanalia njaa sasa nawaza alijua si tunapikaga kilo daily au?

Kama unaenda kwa mtu na utahitaji kula sema mapema kama usemi basi fika mapema kabla ajapika ili anavoandaa akuhesabie. UU UPUUZ WA KUFIKA SANANE MCHANA AFU UNATAKA KULA LUNCH OHOOO KWANGU MTASHINDA NJAA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom