Ni hivi, kuna binti mmoja nilikutana nae Mlimani City duka moja wanauza perfumes wiki kadhaa nyuma. Gia ya kumvuta nilimwambia ukimaliza ku shop uje samaki hapo for lunch.
Mimi nikatangulia...
Tamasha ya uume maarufu kama "Kanamara Matsuri" ni moja ya sherehe ambazo hufanyika nchini Japan,kusherehekea umuhimu wa uume katika jamii.
Tamasha hiyo inaaminika kuwa ilianza katika karne ya 17...
Virginity is like a balloon one prick and it is gone forever,Sex is like a pack of chips once you start yuh can't stop.
I think is very hard to get a virgin lady at 20 and above nowadays, except...
Everyone knows about weman's joy,
The girl have to be happy , and that happiness automatically caused by man's obese wallet and account,
Please wahudumie mademu zenu,.mtuhudumie
Mulalegee
Love...
Habari za majukumu wana jamvi...
Natamani mnipanue fikra kidogo juu ya hii heshima tuliyoizoea ya kusalimiana "SHKAMOO". Kwa jamii yetu Tanzania, matumizi ya salamu hii ni ishara mojawapo ya utii...
Mwanamke mmoja alikamatwa na kufungwa gerezani baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake ambaye mwili wake haukuwahi kupatikana.
Baada ya kutumikia miaka takribani kumi (10) gerezani ikaja...
Juzi juzi nlikuwa mahali flani hivi nimesimama, akatokea mdada mmoja, simfahamu wala yeye hanifahamu, alikuwa amesimama umbali wa kama hatua 10 hivi kutoka nilipo, nlimuona na yeye aliniona...
Mchepuko unanilazimisha nisherehekee naye katika sikukuu ya chrismass
Sikukuu zote nimezoea kusherehekea na mke wangu pamoja na watoto,kwa kipindi hiki mchepuko ananipa mahaba yote na...
Habari wakuu.
Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu binti kwa zaidi ya mwaka mmoja na malengo yetu ni kufunga ndoa halali ya kanisani next year.
Changamoto kubwa niliyonayo ni usiri wa huyu binti...
Nililala na mwanamke kwa mara ya kwanza nikiwa na akili timamu huku nina miaka 20. Alikuwa mke wa mtu, alinitongoza yeye mwenyewe nami nikaona ni zali la mentali(mchizi).
Maana nilikuwa kiongozi...
HATUA TANO ZA PENZI
(Ingawa wengi huishia hatua ya tatu)
“Inawezekana hakuwa wakwangu”, “Yamkini Mungu hakupanga tuwe pamoja”, “Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia...
Mpaka muda huu naandika huu uzi, bado sijajua kwanini mabinti wengi wananipenda hadi inafikia hatua ya kugombaniwa mbele ya mkadamnasi. Labda nianze kwa kukri kwamba mimi sina uwezo wa kiuchumi...
Habari wana MMU. Kwa kweli diamond sifa anazofanya za kuwapa magari girlfriends wake mbele ya camera anatupa mtihani mkubwa sisi wanaume. Ukweli my wife ni pregnant na ubaya zaidi birthday yake...
Habari za jumatatu wadau na imani weekend ilienda poa sana
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kuna dada nipo nae kwenye mahusiano na ninadhani nilishaleta uzi hapa unamzungumzia huyo...
Mimi ninani
Ninayeweza mkumsaidia demu geto akalala mpaka asubuhi bila kumshika
Ninayeweza kumkopesha demu bila dhamana yeyote na kurudishiwa fadhila
Mimi ni nani, Mimi ni nani..............
?
Hope mko poa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26s kwa kiasi flani maisha yangu sio haba namshukuru mungu atleast silali njaaa
Sasa nilikua nime plan nikifika kweye miaka 28 nioe ila daah...
Habari wanajamvi ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe mkristo
4: Awe anajua kupika na msafi
5: umri...
Habarini za asubuhi hii wanajamvi wenzangu, mimi ni mzima Afya namshukuru Mungu.
Nimekuwa na utaratibu kunyoa mara moja kwenye hizi saloon zetu za kiume ili kuepuka vishawishi vya wadada wanaotoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.