Ananiongopea kwamba ni bikra pamoja na mimi kutouona ubikra wake

MKUYENGE

JF-Expert Member
Jun 26, 2019
4,107
4,604
Kuna binti tulikuwa nae kwenye mahusiano bila kufanya ngono akaniambia ni (bikira)

Sasa siku tumefanya nae mapenzi sikuuona huo ubikira na amekuwa ananga'ngania kuwa mimi ni mwanaume wake wa kwanza wakati picha inaonekana kabisa na uongo na kuna mshikaji wangu alikuwa nae kwenye mahusiano kashapiga uhakika ninao .

Sasa wakubwa mnaonaje nimchane kuwa ananiongopeaga au nimpotezee tu abaki akiamini ujinga alionao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom