edward93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 565
- 1,358
Kama sio mgeni na jamii forum, utakubaliana na mimi kuwa kumekua na utitiri wa nyuzi nyingi watu wakijinasibu kula matunda kilaini, lakini ni imani yangu kuwa lazima kutakua na upande ambao wote humu tumewahi kuupitia na pengine atujawahi kushare mahali na ni imani yangu pia sio wanawake wote ni warahisi kuliwa.
So kwa uzi huu nawakaribisha wadau ambao wamewahi kufatilia kula papuchi kwa mbinu zao zote na bado wakatoka kapa!
Nikianza na mm mwnyewe! kuna manzi nimefahamiana nae huu mwaka wa tatu sasa, wakati nkutana nae kiukwel sikupata hisia za kimapenzi(crush on her) ila tulianza kuzoeana kidgo kidgo baadae tukawa karbu sana (tunapigiana simu na sms kila dk)..kiukweli nikàanza kupata hisia za kumtamani (ana shape nzur hasa) na kikubwa kilichonipa hope ni kuna siku nlikua nacheza game kwnye simu ya best ake mara text yake ikaingia cjui nn kilinituma bas nkaifungua then kuchek vizur nikaona sms mbili juu kuna jina langu kwenye text zao bas nikapata iga ya kusoma convo zao (kumbe dogo ananielewa na yy na anashangaa why simuapproach) bas kidume nkasema huyu nalala nae mbele na principal zangu demu akishanionesha interest mm sitongozi naforce mazngra nimle tu! basi nkaanza kumtengenezea mazngra ya kumla aisee hapo ndio mzki ukaanza siku ya kwanza tunatoka mahali akaomba kupajua kwangu ila siku hyo alikua high hgh alikaa dk kumi tu akaondoka,
Siku ya pili kaja geto(atuishi mbali sana so kuja kwngu anchukuliaga kirahis tu) mzee nmetumia trick zangu zote but nmeishia kiss tu tena la shavu, siku ya tatu kaja kufata staff fulani hivi za kazi nkaishia kula romance na touches but nguo avui tena anachange mood dah mzee nkaona hiki kisiki bas nkawa cool nae tu mpka siku nkambananisha mahal ndio akanmbia kuwa awezi sex na mm mpka niwe commited na yy(kitu ambacho mm siwezi) na cha pili yy ni virgin(ana miaka 24 now na hili la yy kuwa virgin nlishaliona kwnye text zake zile nlizosoma kwa shoga yake) na cha tatu hyo sex yenyewe mpka nimuoe kwanza [emoji3]
Pamoja na ubaharia wangu wote kwa hiki chuma nilinyoosha mikono ila ipo siku yake! ntaleta mrejesho[emoji1787]
Kama na ww yalishakukuta haya embu share na wakuu.