Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF. Kipindi cha uchumba wetu mimi na mke wangu ambae tuna miaka kadhaa kwenye ndoa nilimuahidi kumfungulia mradi ambayo nimeitimiza na amedumu na anaendelea nao hadi sasa. Hivi...
2 Reactions
95 Replies
9K Views
1. Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe. 2. Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu. 3. Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa. 4. Kutafuta mke mwema kanisani wakati we...
11 Reactions
20 Replies
4K Views
Mambo vipi wakuu? Hivi, kwa kawaida tu, Mama Mkwe akijifungua natakiwa kwenda kumuona baada ya muda gani? Ama mtoto wake (mke wangu) anatakiwa kwenda baada ya muda gani? Au tunatakiwa kufanyaje...
4 Reactions
88 Replies
7K Views
KUTEMBEA NA MUME WA MTU/MKE WA MTU SIO UJANJA NI UJINGA... Ujinga ni pale unatembea na mume wa mtu lakini unakazana kutuma picha za uchi kwa mke wake kwa madai kuwa unamkomoa mke wake; (1)...
12 Reactions
36 Replies
7K Views
Katika zama hizi za sayansi na teknolojia usomaji wa vitabu hasa kwa nchi zinazoendelea bado umekuwa mdogo ukilinganisha na zile zilizoendelea. Lakini kupitia kusoma vitabu ndipo kizazi chenye...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari Nitangulize shukrani kwa watakao jikita katika mjadala na sio mtoa mjadala Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natamani kujua kama kufall in love with someone au kuzimikia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msome vizuri danga ni mtu wa aina gani. Kama ni mfanya biashara, mwalimu, au fundi bomba basi tumia kifurushi chako ingia Wikipedia usome uelewe dunia ya danga ili mpate cha kuongea. Usianze...
19 Reactions
41 Replies
7K Views
SUMATRA ndiye mwenye mamlaka ya kusimamia usafiri wa aina zote hapa nchini. Usafiri wa anga, barabara, majini na hata treni. Kwa wakazi wa miji yenye mabasi ya usafiri wa umma maarufu kama...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
*[emoji177]Leo nataka kuongea na vijana walio safiri nje za nchi kufanya kazi na kuwaacha wake zao[emoji177]* *[emoji177]Unakuta mtu ameoa weki tu ashasafiri mpaka baada ya miaka miwili...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanaume mnakwama wapi jaman?mbona gololi hamzioshi??tatizo ni nini huko uvunguni mbonaa uvundo?? Kutokana na kikao chetu wakina dada wa shoka tunaojuaa shughuli za sita kwa sita, wamenituma kama...
13 Reactions
170 Replies
14K Views
Hapa duniani kla kitu ni uongo, kila mtu ni muongo, isipokuwa kifo tu ndio ukweli pekee hapa duniani vingine vilivobaki vote ni uongo. Na ndio maana binadam wengi km sio wote wanaogopa kifo kwa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Mahusiano yasiyokupa furaha. Ni sumu. 2. Visingizio vya kutoanza safari ya ndoto zako 3. Urafiki usioongeza thamani kwenye maisha yako 4. Kujihukumu kwa kujilinganisha na wengine. 5...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
HABARI ZA MUDA HUU WAKUU! Mada hapo juu inajielezea, yaani kuna washkaji wanazingua sana. Unawezaje kumtongoza demu hadi akubali alafu usimalize mchezo? Yaani inakuwaje utumie muda wako, na...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za mwisho wa wiki wana Mahusiano na Mahaba. Wiki iliyopita nilienda kwenye ofisi flani kupata huduma, nikiwa kwenye foleni akapita baba mmoja mtanashati tuu na yeye alikuwa anapata huduma...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Naomba msaaada kwa hili. Mimi nina mke wangu ambae yupo mbali alikuwa mama wa nyumbani nikamfanyia mpago wa chuo amesoma amefanikiwa kupata kazi mkoani mimi sasa wakati yuko chuo nilikuwa na...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Mwezi huu eti kakaza... eti halipii tena king'amuzi. Kisa... eti zinaishia kuonyesha epl, wao hawafaidi tamthilia zao. Hamna noma lakini, nahamishia majeshi vibandaumiza
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wahenga walisema.."nguo ya kuazima haistiri makalio" Tamaduni ya mtu ukiachilia mbali afya yake,Ni nguzo imara ya kufikia malengo yake kwa namna yoyote ile Tamaduni humjengea mtu...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu mmemuekewa vipi Diamond!? Amewaahidi wadhamini wa tamasha lake la muziki kwamba atawasihi au kuwashawishi wanawake zetu wasitukubalie kufanya nao mapenzi bila kuvaa mpira(.kondom)kwa upande...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Swala la ndoa ni swala nyeti sana. Watu wanataka kuingia kwenye Ndoa na Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka kwenye ndoa. Ndoa uwa ni chungu na inawashinda wengi kutoka na maswala ya...
9 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom