Fisher_8
Member
- Jul 26, 2019
- 80
- 225
Inafika hatua huoni hata faida ya watu wanaokuzunguka. Hujali ushirikiano na wengine maana hata kufanya hivyo ni kama kupoteza muda tu, unayemtegemea unakuta ndiye chanzo cha kukurudisha nyuma na hajali.
Mungu naye ni kama kakuacha. Huna kitu hakuna anayekuthamini labda ungekuwa nacho ungeonekana nawe mtu.
Unajitutumua walau utoke huko ulipo na still jitahada zako zinakuwa bure. Kuna wakati kila mahali unaona giza tu hata kesho yako usiielewe.