Siku ya mwisho ikiwa kama nnavofikiria, tutaona mambo mengi ya ajabu

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
Hii members

Huwa nawaza sana siku ya mwisho Mungu akaamua kutuonesha matukio ya kila mmoja wetu alokua anayafanya akiwa peke ake basi tutaona mambo mengi ya ajabu sana

Maana mimi tu nikikaa peke angu ndani huwa nafanya mambo ya ajabu mno

Acha yale nnayowaza afu siyanyii kazi, adi sometimes huwa najicheka mwenyewe

Natamani kushare na nyie ila mtanishangaa sana

Kwa ambae nae huwa anafanya mambo ya ajabu na ana uwezo wa kushare ashes tu mi ilo siwezi kabisa

Namuomba Mungu iyo siku ya mwisho asijetuonesha matukio hayo
 
Na Mungu ataonyesha ili tuone sasa kama kusema imekushinda tutaona ndo ukome. Heri useme tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom