KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,569
- 89,204
Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua!!
Bora hata nilibubuje hapa ili hata ka upendo juu yake kapungue!.
Muda mwengine kujitia ugumu hakufai!! Kuna binti kipindi nasoma alitokea kunipenda ila fala mimi sikujua nilikuwa sijui hili wala lile..
Kwanza binti alikuwa si haba,hili nakili kabisa maana wengi walikuwa wakimtolea jicho!!.
Uzuri wake ulinifanya nijione kuwa sikuwa na hadhi ya kuwa nae!,hili nilijiambia mwenyewe hivyo hata sikuwa na muda nae...
Ushirikiano nae ulikuwepo ule wa kimwanafunzi tu.. lkn ktk kushinikiza ule usemi wa umdhaniae sie kumbe ndie,mtoto wa watu kumbe alivutiwa nami!! Pamoja na kwamba alionyesha sign zote za huba juu yangu ndo kwanza kenge mimi nilikuwa sielewi! Shauku yangu kubwa ilikuwa Ni kwenye haya Mambo
Tayari nilikuwa nimeshajishusha hadhi kwake! Nilikomalia mambo nayoyapenda mimi tu huku sijui kwamba kuna binadamu huku kanipenda!.
Rafiki yangu wa karibu ndie alienigutua kuwa manzi kanizimikia!!,jinga mimi nina asili ya ubishi ili muda mwengine huwa inanisaidia.. nikambishia mshikaji kwani niliona kwanza haiwezekani na nilichukulia masihara!!
Lkn kwa mbali nilianza kuona jamaa kama alichosema ilikuwa ni kweli baada ya kufikiria vitu fulani alivyokuwa akinitendea binti yule!! But pia sikuchukulia serious!!
Muda Sasa umeshapita ndo fala mimi naelewa kuwa manzi yule alinipenda kweli!,nilipoanza kufikiri kwa umakini sign zote alizokuwa akishow mbele yangu niligundua Hilo.. wakuu wanawake wengine hawana ujasiri wa kuandika hata barua ila tunaweza wasoma their body language on how they behave wakiwa mbele yetu!!
Kuna vitendo vyengine alikuwa anafanya mbele yangu mpaka najiuliza huyu kwa upole wake huu alipata wapi ka ujasiri haka!!!
Kushindwa kwangu kung'amua mapema na muda mwengine sikujua ni behave vipi akifanya hivi kulimfanya awe na walakini nami!!
Aliona kama simjali,simpendi.. badala ya uzuri wake univute mimi niliona sikumstahiri!! Kenge kabisa Mimi.
Sijui sahivi alipo nimetafuta nimekoma!! Sasa ule upendo wake kwangu umenigeukia mimi!! Namuwaza namkumbuka and now I feel her!!.
Naona sahivi nalipizwa kile kilichokuwa kikimtokea!!
Sahivi ndo najua mtu yeyote anaweza akakupenda usijidharau.. nimegundua kumbe namuhitaji mwenye hulka Kama yake!!
Nimechelewa kipofu mimi na sahivi napambana na hali yangu!!
Na tuone kama hayo ma supernova,time travel,dark matter n.k yataniliwaza endapo bado nayapenda ila tujue tu kila kitu kinanafasi yake.