HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Nimemtolea nje akani block yani sijamtongoza wala nini ila ana mshepu balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti bado sijatuma yani ndio the first time kuchart naeAlinibuje mwisho? Badoo nini? Hapo possibly unachat na mshikaji.
Hahahaha itakuwa'Afu inaonekana hiyo "vidio" yake ni kama zile za sultani tamba,.
Nilijua tu kuwa kahuniHuyo wa manyara ashakupiga hamna kitu hapo!!!
Yaani ndugu wote wamnyime buku 7, hata mimi ashawahi niomba ilikuwa mwezi wa tisa then kanipa block... Japo sikumpa.
Sent using Jamii Forums mobile app
We toa tu Mkuu kajilie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mlivyo waanika duuuh ngoja me nijichukulie namba niwatumie pesa coz huu ni mwez wakutoa ngoja nitoe
HahahahaMkuu kama mimi yani, mademu wa messenger wspuuzi kweli. Kuna mmoja nilimwambia njoo kila kitu, location na nauli pamoja na hela yake (kama kuonga vile) nnayo. Akadai eti hana nauli ambayo haizidi hata elfu 2. Sema nshwapata kadhaa uko, tena ngoja nitoke JF nikawinde mie
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Hapo ubarikiwe sanaIla kuna huyu nilimpa yeye View attachment 1298576View attachment 1298577
Sent using Jamii Forums mobile app