Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
430
natumain mko wazima
Mi Anna pita leo nimewamic nimeamua ni share na nyie jambo moja la msingi kwenye ndoa

Ewe mme usitumie nguvu nyingi Sana kumuazibu au kumgombeza mkeo anapokosea njia nzuri kaa kimya

Mfano mkeo kachit hakikisha amejua kua umefaham ikibidi Kama unakifua mfumanie kabisa alafu usimuazibu Yan usimuulize wala kumgombeza jifanye haujui wala hujaona kitu alafu kua mchangamfu kupita kawaida

Nakuhakikishia mkeo atajiadhibu mwenyewe na hatarudia kufanya huo ujinga

Yan hakuna adhabu kubwa Kama kunyamaza kimya hata Kama unaumia kiac gan usimuonyenye ...muonyeshe furaha

Nakumbuka juzi kat hapa nilipata tatizo nikamuomba shemeji yenu Kama lak 2 akaninyima

Na anatabia hiyo mimi nikiwa na tatizo hanipi yan yeye hela zake kwa ajir ya ndugu zake tu

Mi nilikua nimebanwa kweli Kodi ya shop ikabidi nichukue kwenye ac yake kimya kimya bila yeye kujua

Mungu hata siku 3 hazikupita jamaa kajua akaniuliza nikakosa jibu nikaomba msamaha

Jamaa hakujibu kitu zaidi yakua kawaida tu dah!! nilikosa Aman siku 3 sina Aman sili vizuri nikaamua kuondoka home
kwenda kwa sister

Sister sikumwambia chochote nae alivyonifata akaniambia pesa zinatafutwa rudi nyumban na hakumwambia chochote dada

Tangu nirudi Sina Aman hapa natafuta mteja wa kununua duka Zima nisepe mbali sana

So haina haja ya kutumia nguvu nyingi muache mtu ajihukum mwenyewe

Hata kwa mwanaume anaechepuka haina haha ya kutukanana na michepuko ya Mume mwambie najua unatembea na fulan alafu kaa kimya timiza majukum yako ikibidi ongeza manjonjo kwa bed
 
Umesema kweli, ukimya ni adhabu tosha kabisa kwa mwanamke ..MTU anaweza kujinyonga.





Kuna makosa yakukalia kimya na kuelekezana hapa napale .Ila kwa kosa LA usaliti ..nikikufuma live ..au kwenye meseji tu... JIANDAE KUSEPA .
 
Wewe chiti unavyoweza
Utaacha wangapi? Asilimia kubwa Sasa hv wanachit
Biblia yangu imeniambia ivi. Mwache mwanamke akiwa Msaliti au mchawi....


Na mwanaume ukishaacha mwanamke unatakiwa uoe.


Biblia yangu haijaniwekea ukomo wa KUACHA....

Na haijaniwekea ukomo wa KUOA.....

IPO ivi , ili mradi niliyemuoa atachit nkajua. Nitakufukuzilia mbali nioe mwingine...

Akichiti tena ,nafukuza naoa mwingine...


Nitafanya ivoivo mpaka siku nitakapopata mtulivu...NAJUA WANAWAKE WATULIVU WAPO !!.

Haingiii akilin ,Mimi nisikusaliti..wewe unisaliti .UTEGEMEE NIKUBAKIZE MACHONI MWANGU????

Haha hahahaha hahahaha nitakua wa mwisho.
 
sijui kwanini Nelson Mandela aliweza kuwasamehe makabulu lakini akashindwa kumsamehe mke wake.
Kwasababu hamna sababu ya kuchit !!

Kwa ufupi , Huwez kuingia mapajan mwa mwanamke wako ambaye unajua katoka kumtanulia MTU mapaja,

Sasa uingie alafu utakua unafurahia ???
 
Kwahiyo unauza duka ili ukimbie mbali wapi na wakati ushaambiwa pesa zinatafutwa, kama unataka kujiua andika wosia kabisa na umuage mumeo.... adhabu inayokutoa kamasi ndiyo unashauri wenzio..!!
 
Kukaa kimya maana yake nn sasa.
Ukiwa unafanya hivo kila siku mwishowe unakua zoba kabisa. Kuna people ukizikalia kimya zinajua zimekuweka kwenye chupa.
Ni kuchukua maamuzi tu,
 
Hahahaha
Kwahiyo unauza duka ili ukimbie mbali wapi na wakati ushaambiwa pesa zinatafutwa, kama unataka kujiua andika wosia kabisa na umuage mumeo.... adhabu inayokutoa kamasi ndiyo unashauri wenzio..!!
Alafu MTU kama suala ni Pesa, umechukua, umeenda kufanyia jambo lilojema....

Kuna sababu ya kuwaza kutimka ????


Hapa tunarudi pale pale...Demu keshachoka ndoa, hampendi mchizi namengine kama hayo.........

Sema ndo Dunia yetu tulonayo sasa
 
Back
Top Bottom