Hivi wanawake wanaoandika hovyo wanajielewa kweli?

Hivi wanawake wanaoandika hovyo wanajielewa kweli?

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,729
Reaction score
3,512
Tumekutana jana usiku, hanijui simjui na hatujaonana vizuri nikamshauri uje alale kwangu akakataa kwa kujitetea atakuja kesho. Leo imefika anataka aje kana kwamba tunajuana.

Swali langu ni kakutana na wangapi? Huyu mtu anajielewa na ni mzima kweli?
IMG_8237.JPG

Btw: Asahau kuja kulala kwangu
 
Humjui hakujui mmekutana Jana tu iweje aje kulala kwako mkuu?

Aahhh si wajua kichwa cha chin kikianza kufanya kaz
Nilikutana nae baada ya kupandisha juu kidogo nikale(mana naishi pekeang)
Nikala wali maini nilivyoongezea soda ka robo tu tumbo likaanza kuuma sana mpaka kushindwa kutembea, nia yangu ya kufika nyumban nilale ikakomea njian sehem flan ya kukaa na huyo dada alikuwa kakaa apo
So ndo tukaanza kuongea ongea

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa Kuna shida gani kumnunulia kiatu cha 3000 ? Unataka upewe uchi lkn ukiombwa kitu cha msingi unakuja kumponda huku.
 
Nunua viatu namba 39 acha makelele, unalalamika utadhani sio mwanaume... Mambo gani haya.... Hivyo vindala ni 4500 tu kanunue akishuka umpe avae

Sent using Jamii Forums mobile app

Insue sio hella, sina shida na hella ata ingekuwa laki
Shida ni anayo mwanamke kutan kulala na watu ovyo bila kujipa thaman, wengi wenu mko hvyo
 
ulitaka aje peku??
mbona kakuelezea hali halisi ya mazingira ya kiatu kukatika??

au 3000# ya kiatu inakuuma??
kujua kuandika kunahusianaje na kula papuchi??
Tumekutana jana usiku, hunijui sikujui, na hatujaonana vzr, nikakushauri uje ulale kwangu ukakataa kwa kujiteyea utakuja kesho, leo imefika unataka uje kanakwamba tunajuana
Swali kwangu; kakutana na wangap, huyu mtu anajielewa na ni mzima kweliView attachment 1296531

Btw: asahau kuja kulala kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekutana jana usiku, hunijui sikujui, na hatujaonana vzr, nikakushauri uje ulale kwangu ukakataa kwa kujiteyea utakuja kesho, leo imefika unataka uje kanakwamba tunajuana
Swali kwangu; kakutana na wangap, huyu mtu anajielewa na ni mzima kweliView attachment 1296531

Btw: asahau kuja kulala kwangu
Utoto raha sana
 
Mbona hata wewe uandikaji wako haueleweki? Mimi naona mnaendana tu!

Back
Top Bottom