Msaada tafadhari!!

Msaada tafadhari!!

rodian

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
246
Reaction score
323
Habari,
Naombeni msaada, hivi kunatofauti gani Kati ya karma na msemo huu what's goes around comes around?
 
Ni kama msemo wa kiswahili: Apandacho mtu ndicho avunacho.
Kwamfano kwenyebiashara: ukitangaza sana biashara tegemea wateja. Ikiwa na maana watu wataisikia na kuizungumzia mwisho wa siku watanunua bidhaa yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom