Mshangao: Mchana yuko busy usiku anawanga!!

Mshangao: Mchana yuko busy usiku anawanga!!

Seems alikuwa anatania, kuwanga inamaanisha kukesha! Anaweza kukesha kwa sbb ya kuandaa vpnd, au anasoma au mambo ya kutafuta mtoto yanaweza kuhusika pia
 
mshana jr njoo hapa


Ila nadhani hamna uhusiano wa vitu viwli kat ya elimu ya darasan na kuwanga. Naona kila komoja kinajitegemea. Mtu anaweza kuwa profesaa na pia mchawi au mrogi.

Pia kwa situation hiyo nadhani alikuwa anatania tuu
 
Last edited by a moderator:
Usomi hauhusiani na ulozi yote mawili yanaweza kua majibu ila mtoa mada sifikirii kama inakuhusu na inatuhusu ungemuuliza mwenyewe amgekupa majibu sahihi zaidi......bando la chuo katika ubora wake kila kitu chaanzishiwa thread waaiji
 
Lugha tu hujamuelewa
anamaanisha ana kesha kufanya kazi
 
Hizo ni lugha tu usishangae. Ukisikia mtu anaitwa Bundi hasa mashuleni na vyuoni usitoke mbio, inaanisha huyo bibi/mr. hukesha akijisomea.
 
Habari ya usiku huu wakuu, natumaini weekend iko poa.

Bila kuchoshana kuna kitu juzi ofisin kimenishangaza sana ningependa kushare na wana mmu.

Nafanya kazi taasisi ya elimu ya juu ambapo ofisn idara yetu niko na watu wengine umri umeenda sana.

Kuna huyu Mama(Phd) ambaye kwa makamo yuko above 50 juzi niliingia ofisin kwake kwa consultation ya kiofis tu.

Nimeingia tu akaniambia karibu, ila nimechoka sana maana nimeunganisha vipindi masaa matano saiv ndio naingia.

Mshangao!! Alisikika akisema, Nanukuu (Usiku kucha nawanga mchana napo kazi nyingi). Aliongea katika stuation kana kwamba anajiongelesha mwenyewe ila sauti ikatoka. Nilishindwa kumuuliza unamaanisha nini au unasemaje?

Yaani hadi leo nikikumbuka nabaki kumuangalia hata simwelewi. Hivi Phd-Holder anaweza akawa muwangaji, au alimaanisha kuwa usiku kucha anasoma?

Nimushangao tu!! Nakutakieni weekend njema.

Wanga hawasemagi na ukiona kasema hivyo soma post yangu ya mkomoe mwanga utapata majibu yote
 
mshana jr njoo hapa


Ila nadhani hamna uhusiano wa vitu viwli kat ya elimu ya darasan na kuwanga. Naona kila komoja kinajitegemea. Mtu anaweza kuwa profesaa na pia mchawi au mrogi.

Pia kwa situation hiyo nadhani alikuwa anatania tuu

Huyo tayari keshatengenezwa
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa ana maanisha usiku mzima anakula....umeshindwa kuelewa lugha ya Picha???
 
Back
Top Bottom