Siku hizi ni heri mwanaume ufuge mbuzi kuliko uoe

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
617
1,000
Ndoa za siku hizi, mwanaume unaoa leo, wiki ya kesho mke anakukimbia, umepoteza gharama za harusi na your social status. Nndugu watakuonaje?

Unakuwa kwenye relationship na mdada, mdada hawezi hata kuja ghetto kukudekia, kukufulia, au kukupikia unaishia kuombwa pesa kila wiki, na hiyo sex yenyewe unapewa kwa taabu kweli. Sana sana mdada atakupa headaches na stress za kipuuzi.

Yaani wanawake wengi hawaleti chochote kwenye mahusiano, wanawake wanachojua ni kuchukua, kuchukua, kuchukua, na kuchukua!
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,569
2,000
ukitaka wanawake wasikusumbua fuata formula ya ndege wafananao kuruka pamoja...

jay z sio mjinga kumuoa beyonce, beckham kamuoa victoria.. yaani kama wewe tajiri oa mwanamke tajiri.. mtoto wa kimei kamuoa mtoto wa matemba wa victoria oil.. hiyo maana yake hakuna kunyonyana kiuchumi mtu avune ambacho hajapanda..

ila kama wewe unatongoza wanawake kisa wana chura au uzuri.. lazima uwachukie wanawake..

ukweli ni kwamba wanawake wengi hawana cha ku offer kwenye mahusiano au ndoa zaidi ya papuchi.. jay z kamuoa beyonce sababu ana offer zaidi ya papuchi kwenye ndoa yao..
 
gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,576
2,000
Tena wanachukua hata kusema asante hawawezi.. Changamoto sana..
Ndoa za siku hizi, mwanaume unaoa Leo, wiki ya kesho mke anakukimbia, umepoteza gharama za harusi na your social status..lyk ndugu watakuonaje

Unakuwa kwenye relationship na mdada, mdada hawezi hata kuja ghetto kukudekia, kukufulia, au kukupikia unaishia kuombwa pesa kila wiki, na hiyo papuchi yenyewe unapewa kwa taabu kweli...sana sana mdada atakupa headaches na stress za kipuuzi

Yaani wanawake wengi hawaleti chochote kwenye mahusiano..wanawake wanachojua ni kuchukua, kuchukua, kuchukua, na kuchukua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,598
2,000
Bado hujapata Mke ila Umepata mwanamke mkuu. Hili suala jaribu Ku surrender kwa wazee wako ,mambo utayaona mukide.pia chukua ama oa MTU unayejua historia ya ukoo wake.na sio umekutana na Mdada kwa mwendokasi mkabanana mpaka suruali ikavimba ukachukua namba ndo utegemee mke huyo atakuwa mwanamke.
 
mbegubora29

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
288
250
Ndoa za siku hizi, mwanaume unaoa Leo, wiki ya kesho mke anakukimbia, umepoteza gharama za harusi na your social status..lyk ndugu watakuonaje

Unakuwa kwenye relationship na mdada, mdada hawezi hata kuja ghetto kukudekia, kukufulia, au kukupikia unaishia kuombwa pesa kila wiki, na hiyo papuchi yenyewe unapewa kwa taabu kweli...sana sana mdada atakupa headaches na stress za kipuuzi

Yaani wanawake wengi hawaleti chochote kwenye mahusiano..wanawake wanachojua ni kuchukua, kuchukua, kuchukua, na kuchukua..
Piga punyeto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,314

Mkuu pole sana! Tafuta wa Level yako.

Simple.
 
Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
22,694
2,000
Ndoa za siku hizi, mwanaume unaoa leo, wiki ya kesho mke anakukimbia, umepoteza gharama za harusi na your social status. Nndugu watakuonaje?

Unakuwa kwenye relationship na mdada, mdada hawezi hata kuja ghetto kukudekia, kukufulia, au kukupikia unaishia kuombwa pesa kila wiki, na hiyo sex yenyewe unapewa kwa taabu kweli. Sana sana mdada atakupa headaches na stress za kipuuzi.

Yaani wanawake wengi hawaleti chochote kwenye mahusiano, wanawake wanachojua ni kuchukua, kuchukua, kuchukua, na kuchukua!
Umeoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom