Mapenzi utata

Mapenzi utata

kamati yamaamuzi magumuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
227
Reaction score
263
Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.

Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza. Wakati nakuja chuo namshukuru nilifanikiwa kumpenda mdada mmoja ambaye hakusita kuniambia ukweli kuwa ana mtu wake na wana ahadi za kuoana.

Nilimkazia akakataa kata kata, nikaona isiwe tabu nikampotezea, na nikaapa ngoja nitulizane tu.

Sasa haikupita muda nikaanzisha biashara ya mtaji kama wa 1.5 milioni hapa hapa chuoni, yule dada akaanza kujisogeza saana na kujenga hisia za mapenzi na mimi. Kwa kuwa kiukweli nilitokea kumpenda, na kwakuwa sisi wanaume wengi ni wadhaifu, ikawa ni ngumu kumkataa. Nikamkubalia ila nikawa nawaza huyu dada atakua kafata hela kwangu. La hasha! Siku zilivyozidi kwenda sijaona kabisa michakato wa kuniomba hela wala nini na amekua mteja wangu sana katika bidhaa ninazouza hapa chuoni.

Mapenzi yaliendelea yakanoga kiasi chake nikawa naenjoy sana. Punde si punde yule dada kaanza banwa na mtu wake hivyo kupelekea mapenzi kwangu yakapungua kabisa. Sasa hivi yapo katika hali ya sintofahamu. Upande wa pili sasa kumekuwa kuna wadada ambao ni marafiki zake kama wawili wamekua wakiniomba nianzishe nao mahusiano ya kimapenzi lakin inaniwia vigumu maana nawaza kuwa, kwanza ni marafiki na yule dada, na pili ni hofu ya kuchunwa pesa.

Ndugu zangu, niko njiapanda nichague mmoja wa marafiki wa yule dada ambaye ni mchumba wangu au niendelee kusikilizia maumivu ya joto la jiwe kwa huyu dada wa kwanza?[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First year mwenzangu unakwama wapi. Ngoja nikwambie mi nafanyaje, nina makoroni yasiyo rasmi nje ya chuo. Na sasa niko uko, mademu wa huku nje hawajui mishe zako wala una hela au huna. Wadada wa chuo si wanajikuta mambo mengi. Jikute kuwaona kama dada zako utaishi kwa amani, usiumie kuona wanakuja kubebwa na vijeba afu ukajikuta unajitutumua. Komaa na mishe zako afu jikute kama mzembe flani kwenye sekta ya mahusiano. Mimi hapa wananichukulia mzembe kweli ingawa chinichini nshaopoa wa kutumia bill yangu mwisho huu wa mwaka. Kazi na dawa

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Dogo sikia, acha ufala na upuuzi ooh sorry umesema hutaki matusi. Achana nao hao wote anzisha mahusiano na mwingine asiyejua mengi kuhusu ww, hivyo vinajileta kukupukuta mtaji wako na biashar yako, hata hivyo watapeleka umbea kwa rafiki yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante saana kaaka pia umetumia matusi kwa faida bro ya kunielimisha nashukuru saana[emoji120][emoji120]
Ngoja nivikwepe
Dogo sikia, acha ufala na upuuzi ooh sorry umesema hutaki matusi. Achana nao hao wote anzisha mahusiano na mwingine asiyejua mengi kuhusu ww, hivyo vinajileta kukupukuta mtaji wako na biashar yako, hata hivyo watapeleka umbea kwa rafiki yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nashukuru Sana Kaka ,ngoja niweke strategic ya kuwakwepa aisee,Ila kunakitu nimekipata kwenye reply yako ,ntaifanyia kazi kwa watu wa mtaani

Back
Top Bottom