Nawashangaa sana, jitu na ndevu zake utakuta eti linapitisha mchango eti nalo linaoa! Pumbavu!!!
Ukiliulizwa kwanini unaoa, eti "natimiza nusu ya dinii "
Nimeshawaona wengi sana wakijutia kuoa...
*MAJUTO NI MJUKUU*
Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa
Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja...
Short and clear
Kama unataka kutafuta mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa humu JF kitu cha kuangalia ni hiki..
Tafuta member wa kike ambae umewahi kumuona kwenye nyuzi za mapenz akichangia...
Habarini!
Niende kwenye mada.
Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2.
Leo...
Habari za mwaka mpya ndugu zangu. Napenda kuwatakia heri katika mwaka huu mpya wa 2020 na kupambana ili kutimiza malengo tuliyojiwekea katika maisha yetu.
1:Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe >>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika.
2:Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama umechoka...
Kama uzi unavojieleza naomba kuwauliza kina dada, ni kweli huwa mnaumwa mnapokuwa kwenye majukumu yenu ya kila mwezi (bleed)? Maana dah! Nimechoka sasa huyu mwenzenu ataniua siku moja
Nipeni njia sahihi ya kumuacha huyu mchepuko...
Lengo la kuachana naye ni ili uchumi wangu utulie nifanye mambo ya msingi na yenye tija.Nimejikuta nikitumia garama zisizokuwa za lazima kugaramia...
SAA MOJA NDANI YA CHUMBA CHA KUSINGA
Habari za usiku mnene mabibi na mabwana, leo nina tukio limetokea le oleo hivi bado ni la moto wala halijapoa.
Niko sehemu flani hivi mahsusi kwa ajili ya...
Direct to the point!
Huyu demu bhna nilimpata kupitia mitandao ya kijamii facebook kupitia account moja hv fake ambayo niliifungua kwa jina la msanii flan hv mkubwa tu hapa Tz
Siku tunaanza...
As salaam alayqum na pia tumsifu Yesu Kristu.
Nafahamu jambo hili limeshaongelewa sana humu lakini nimeona si mbaya nikikumbushia tu na hasa ukizangatia mwaka bado ni mbichi kabisa.
Na pia...
Kweli dunia hii hakuna cha bure.....
Kaniachia mzigo wote nipige ninavyotaka,nikajiuliza mbona leo amejiachia hivi? Baada ya masaa mawili ananiletea changamoto za kutatua. Ama kweli hakuna cha...
DUNIA ya mapenzi kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia, huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka si rahisi sana kumfikiria anayelia, anaamini kama vile mambo...
Wakuu, kuna mwenye rafiki wa utotoni ambaye siyo marafiki tena. Kwa namna moja ama nyingine, kuna marafiki ulikuwa nao leo haupo nao tena. Nini sababu?
Kuna sababu mbalimbali ambazo hufanya...
Habari zenu wana JF? Niende moja kwamoja.
Bwana harusi mmoja nchini China akiwa ukumbini aliamua kuonesha video ambayo inamuonesha mke wake akifanya mapenzi na mume wa dada yake chumbani.
Bwana...
Habari wana jamvi. Hello mr right ni kakipindi fulani kanako endeshwa pale kenya na RAMBO TV, kakizaminiwa na startimes.
Kipindi chao kina husisha single boys &single ladies. Nimeshindwa kuelewa...
Salaam wakuu,
Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.
Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika...
Asilimia kubwa ya mabinti wazuri wana watoto. Kila demu mzuri utakuta tayari kazalishwa. Vijana ambao hamjaoa kazi kwenu maana mnaenda kuoa wake za watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.