Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,203
Short and clear
Kama unataka kutafuta mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa humu JF kitu cha kuangalia ni hiki..
Tafuta member wa kike ambae umewahi kumuona kwenye nyuzi za mapenz akichangia kuhusu mapenz kua anapenda hichi au hichi, na anasupport mwandishi wa uzi kuhusu hali yake positive ya kimahusiano.
Na huwa anakua huru kujieleza hali yake ya kimahusiano.
Lakini usipoona ID yake katika hayo matukio jua kabisa itakua kazi kumpata..
Huwenda hajawa tayar kujihusisha na mahusiano au ako na loss of libido.
WACHANA NAE.
Na kwa mwanaume ambae utamkuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, wachana nae,
kwa future hakufai kabisa.