Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikukuta umetulia zako garden, nikasogea nakupiga story kidogo na haraka nikabaini wewe ni mjamzito.. Aisee nina mzuka sana na wajawazito ..nikashindwa kujizuia dushe likaanza kuwaka motoo...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Natangaza maslahi; Mimi ni mpenzi wa nyimbo za Linah na mojawapo wa nyimbo ninazozipenda sana ni huo hapo juu... ATATAMANI... nyingine hii hapa koleza Sina ushabiki na bongo movie lakini...
12 Reactions
143 Replies
17K Views
Habari zenu wakuu, kama kuna member humu anatokea Wilaya ya Rungwe kata ya Masukulu tufahamiane (PM) Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu ukistaajabu ya bashiru na Membe utayaona ya mabinti Wa Arusha Nilikutana na binti mmoja mzuri kupita kiasi, binti Huyo ni mmasai Wa Arusha na amemaliza degree UDOM mwaka Jana, Nilijenga...
4 Reactions
152 Replies
13K Views
Huu mkasa amenisimulia shoga yangu leo hii. Nikaona isiwe tabu na mie nitoe onyo hapa JF. Huyu shoga yangu tangia alivyosikia kwenye bajeti ya Serikali kuwa mawigi na maurembo mengine...
12 Reactions
123 Replies
10K Views
Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Nashangaa mno navyomwona kaka yangu anavyofurahia na kujitamba analelewa. Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
6 Reactions
197 Replies
15K Views
Habari zenu wakuu ni Matumaini yangu wote ni wazima! Nimshukuru mungu kwa Pumzi alionipa bado ningali nahema, Maana bila yeye saizi nisingeliitwa "YoungTozy" ningeitwa Marehemu, Aseeh na...
13 Reactions
74 Replies
9K Views
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe.
1 Reactions
103 Replies
34K Views
Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza. Kumekuwa na wimbi kubwa la wake kwa waume wote wakilalama juu ya kukosa furaha na faraja ktk ndoa zao. Imefika hatua aliyeoa anajuta kwanini alioa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Asante
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar wadau? Naomba niulize humu Swali dogo halafu Majibu tutayapata na hakika yanaweza kutusaidia katika suala zima la kusifia Wapenzi wetu. Maana kumsifia mpenzi kunaimarisha mahaba motomoto...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Habarini wakuu, Sijui naanzaje kueleza maana nshachanganyikiwa anyway let me try. Ni hivi, kuna mwanamke mmoja nina mahusiano nae takribani miaka miwili na nusu sasa. Sio siri/utani huyu...
10 Reactions
258 Replies
29K Views
Jambo moja kwa hakika: Ukiona mwanaume yeyote unayemfahamu kwenye maisha yako analia tambua kwamba kuna jambo haliko sawa. Hii ni tofauti na kwa wanawake ambapo wakilia sio lazima kuwe na tatizo...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, natumaini mu wazima katiaka pilika za kimaisha. Leo mimi ndugu yenu, mdogo wenu naomba kujua maana ya ili linalonikumba. Mimi ni kijana makamu ya 25Me nipo kwenye mahusiano na...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Mara umepaka mkongo,mara umekunywa konyaji,mara Viagra, mara sijui umekunywa midawa gani sijui. Papuchi hii hii niniyoijua mimi ndiyo inakupelekesha hivyo! Utapaka takataka zote na utakunywa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna nyuzi zangu kadhaa nilileta hapa jukwaani nikipinga vikali sana suala la kuoa nikitoa na mifano halisia lukuki. Tukiachana na hilo leo niwaase vijana ambao tumetokea mikoani tukaja hapa...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika jambo linalonihuzunisha na kuniumiza kwa sasa ni kuona wanawake wakilaumiwa na kutukanwa na hata kudhalilishwa katika maeneo mbalimbali .. Mfano wapo wanawake ambao wamepata watoto kabla ya...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama tittle inavyojieleza naombeni mbinu za kujitoa kwenye chama la wana CHAPUTA, completely, nimejaribu mara kibao kutaka kurudisha kadi ila nashindwa kuna kipindi hapo kati nimekaa mpaka about...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom