Hivi ukiulizwa kwanini unaoa kwa karne hii utajibu nini?

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,310
1,628
Nawashangaa sana, jitu na ndevu zake utakuta eti linapitisha mchango eti nalo linaoa! Pumbavu!!!

Ukiliulizwa kwanini unaoa, eti "natimiza nusu ya dinii "

Nimeshawaona wengi sana wakijutia kuoa, tena mikoa tofauti, lakini ambacho sitakisahau ni kisa cha bwana sele, kijana mfanyabiashara mzuri tuu mwenye pesa zake, alikua ameoa kadumu na mke miaka miwili, lakini cha kushangaza mke wake akachepuka akawa anakazwa na bodaboda akamuacha tajiri sele

Bwana sele akaona kwanini afuge ng'ombe iyakayomsumbua wakati hata asipokua nayo uwezo wa kupata maziwa upo?! Bwana sele akabaki na mtoto wake akaitimulia mbali ng'ombe iende ikakamuliwe vizuri na wahuni!! Eeeh maana ndio maisha iliyochagua!

Ni visa vingi sana nishaviona.

Napatwa na hasira sana huyo rafiki yangu James eti anapitisha bakuli nae anataka kuoa, eti anajiamini kwakua anakauwezo kakipesa, pumbavu!!! Wakati anaetaka kumuoa anakazwa na jamaa mmoja hivi fundi umeme!

James kama unauona uzi huu achana na hiyo ng'ombe!

Na ndio maana mimi nimeamua niachane na huu upumbavu wa kuoa! Niko na watoto wangu wawili, wanalelewa vizuri bila shida, dada wa kazi mwenye hofu ya mungu anaplay part yake vilivyo! sitak stress!

Kuna wapumbavu mpaka leo eti bado wanafuga ng'ombe, unafugaje ng'ombe anakutia hasara na stress na anakamuliwa na wahuni huko wakati hata asipokuwepo uwezekano wa kupata maziwa upo??!

=====
Michango:
Sometimes inaweza kuwa changamsha genge tu, ngoja niongee mawazo yangu incase sio changamsha genge:

Nikiona mtu amebrake up kwa relationship au amedivorce kwa marriage and he/she is allover the place akitokwa povu, na kuwa bitter binafsi huwa namshauri rudi kwa mwenza wako, kaeni chini ongeeni mtafute suluhu kama inawezekana mrudiane, sababu ni wazi bado anamuhitaji mwenza wake. Kuna art ya kumuacha mtu aende...... na hii ndiyo huonesha kuwa umekubali yaishe na unaweza kustay positive, kwamba may be haikuwa perfect combo or it was never meant to work or i will still try again ngoja nitulie kwanza n.k. Sababu kimsingi kama una utulivu wa akili ya kwako yakiharibika gafla huwezi kujikuta umegeuka muhubiri au mhamasishaji rika ukihamasisha watu kuwa marriage ni mbaya na blah blah kibao, zaidi sana watu tutabaki kukushangaa na kukuona upo desperate.

TUKUMBUKE Marriage ilikuwepo kabla hatujazaliwa na itaendelea kuwepo, hata mabadiliko ya kijamii yakitokea kwa kiasi gani bado watu wataoana rasmi au vinginevyo.

vile vile si lazima kila mtu aoe, Chagua upande baki nao bila kuruine mitazamo ya wengine. Being toxic unaweza kujidhuru, hata kuamua kubadili wanawake au wanaume kama nguo ni namna mojawapo ya kujidhuru!

Btw, tujifunze kuishi kwenye ulimwengu halisi, watu wengi wanaishi kwenye “Dunia yao” they overate almost everything! Kwa akili za kawaida tu, ukiolewa/oa ndio hisia zako zinakuwa zimefungwa huwezi kutamani/Penda kwingine? so ninini utafanya mwenza wako akitokea ametamani/penda kwingine? jijibu kimya kimya na KILA MTU ACHANGANYE NA ZAKE 😂 sababu mwisho wa siku its you versus you hakutakuwa na mwana JF hata mmoja teh!

Faida Zipo Ila Zipo tofauti kwa kila mtu. Faida ambazo ni muhimu sana kwako si muhimu kwa mwingine na vice versa.

Ukiingia kwenye ndoa kwa faida zinazonihusu mimi ukidhani zitafanya kazi kwako upo kwenye hatari ya kufeli.

Binadamu tupo tofauti sana katika uvumilivu, kiwango cha mapenzi n.k ndio maana sababu ya mtu kujiua sababu ya mapenzi inaweza isiwe sababu ya wewe kujiua na ukamcheka aliyejiua.

Ndoa ni mtihani Ila mtiani ambao kila mtahiniwa ana maswali yake. Maswali hayafanani majibu hayawezi fanana.

Kuna mtu atavunja ndoa sababu mkewe kamsaliti, Ila mwingine atasamehe na ndoa itaendelea.

Japo utadhani kuwa tatizo ni usaliti lakini Ukiuliza kwann ww umesamehe na ww hujasamehe unaweza gundua tatizo si usaliti ndo maana mmoja akasamehe mwingine akavunja ndoa.

Mtiani ni mmoja wa ndoa, Ila swali la usaliti limeletwa kwa mtindo tofauti kabisa ndio maana huyu akasamehe na yule akavunja ndoa.

Mkuu mwisho kama hujanielewa si lazima tukubaliane, ww utabaki na unachoamini na mm nitabaki na imani kuwa ndoa Zipo, hazitakwisha, kupiga kelele watu wasioe ni kupoteza muda na faida za ndoa hazifanani kati ya mtu na mtu na wakati mwingine hazifanani hata kati ya wanandoa. SHUKRAN

Usiwe hivyo bro, wanawake sio samaki useme kwa vile mmoja ama wawili wameoza basi wote wameoza. Usiharibu tamaduni kwa kushindwa kuwa mvumilivu na kufikirisha akili yako namna ya kupata suluhisho la changamoto zako.

Mimi sio msemaji wa wanawake ila nadiriki kusema kuwa bado kuna wanawake waaminifu na wanawaza kila kukicha wapate wapi wanaume waaminifu. Tatizo kubwa ni wewe, sio wanawake uliokutana nao. Badili mtazamo kwanza kisha yatazame maisha kwenye engo nyingine.

Usitake kupolute mind za wenzio wenye malengo na mikakati thabiti, na vitu kama hivi usiweke too general kiasi hicho kwani ni dhahiri hakuna utafiti wowote uliofanyika.

Isitoshe, unapata wapi ujasiri wa kutoa lugha ya matusi? lugha yako ya matusi inadhihirisha upeo wako wa kufikiri, hii hadhara ni kubwa na usipende kujianika kwa ubaya. Ukiona umekasirika, tafuta mahali hakuna mtu wala kelele yoyote pawe na hewa nzuri kaa kimya kwa muda yatafakari maisha yako.

Hao watoto, hawatakua kama waliolelewa na mama zao kwa maadili. Tafuta cha kufanya juu yao.

Ahsante
cc Mabachelor wote, Single ladies wote

Mleta UZI wewe unapinga hoja ya wanaume kuoa ili wasipate stress, kwa sababu wewe ulishaoa na ndoa ikavunjika.

Uliona umuhimu wa kuoa ndio maana ulioa. Pengine ndoa yako ingestawi vizuri leo usingeanzisha uzi wa kupinga wanaume wasioe.

Kila binadamu duniani Mungu kampangia ndoa yake itakuwaje Mungu kwa mfano:-

1. Wapo ambao Wataona na kuishi pamoja mpaka kufa na kuzikana

2. Wapo ambao wataona na ndoa haitadumu kwa sababu ya wivu, usaliti, ushirikina, kukosa uzao n.k n.k.

Usiwavunje wenzako moyo ndoa ni Heshima na baraka kutoka kwa Mungu na zaidi kujenga familia.

Na nikwambie kitu mzee wa breaking bads, hapa tunaongea kiutani au serious whatever lakini kila binadamu yoyote mwenye pumzi hapa duniani, Mungu alishampangia maisha yake ya sasa na baadae yatakuwaje mfano ataoa, hataoa, ataolewa, hataolewa, atapata mtoto, hatapata mtoto, atakufa kwa ajali, ugonjwa, usingizini, atakuwa tajiri au maskini.

Maisha tunayoishi sio mistake au bahati ni matokeo ya kazi ya Mungu alishakupangia maisha yako.

Hata sisi tulioa na tunaenjoy ndoa zetu hatufahamu kesho na keshokutwa ndoa zetu zitakuwa kwenye hali gani, hatujui Mungu katupangia nini lakini tunamuomba na kumshukuru kwa kutupa baraka ya ndoa basi tunazidi kumuomba azidi kuibariki ndoa kwa mapenzi yake.

Kwahiyo wewe member unayechangia huu uzi hatma ya maisha yako yapo kwa Mungu, kama umeandikiwa utaoa hata upige kilele hapa, utukane, ukandie mwisho wa siku lazima uoe tuu na kama Mungu hajakuandikia hutaoa hata usupport maisha ya ndoa, uchangie sana harusi za wenzako lakini kamwe hutaoa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiamua kuishi changamoto ni lazima..iwe kwenye biashara ,ndoa ,kazini etc..
kikubwa wanaume wamekuwa waoga wa kuface uhalisia ..
nao wameingi kwenye haki sawa
Ila wanawake wa kuamini wamepungua saana nikiongea kutoka moyoni.

Vijana wanawatokea wanakuta wanapenda pesa kisha wanasema basi acha nimpe pesa atulie nami lahaula kumbe kikubwa uaminifu umeisha.
 
Ila wanawake wa kuamini wamepungua saana nikiongea kutoka moyoni.

Vijana wanawatokea wanakuta wanapenda pesa kisha wanasema basi acha nimpe pesa atulie nami lahaula kumbe kikubwa uaminifu umeisha.
uaminifu kwa jinsia zote umepungua..mara nyingi vimeletwa na utandawazi na malezi mabovu..
na jinsi maisha yanavyokwenda mnavyowaachia watoto wamama wawalelee ndivyo mnazidi kuharibu kabisa
 
ukiamua kuishi changamoto ni lazima..iwe kwenye biashara ,ndoa ,kazini etc..
kikubwa wanaume wamekuwa waoga wa kuface uhalisia ..
nao wameingi kwenye haki sawa
Yani unajua kabisa mtu wako anakunjwa na mtu flani, halafu eti nikomae na matatizo nijidai najua kuyaface! Bora niivumilie biashara ambayo baadae inawezo ikanitoa kimaisha lakini sio hao watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uaminifu kwa jinsia zote umepungua..mara nyingi vimeletwa na utandawazi na malezi mabovu..
na jinsi maisha yanavyokwenda mnavyowaachia watoto wamama wawalelee ndivyo mnazidi kuharibu kabisa
Wanawake wanapenda sana pesa, wanaangalia mwenye pesa zaidi ndio wanahamia huko, tamaaa mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unajua kabisa mtu wako anakunjwa na mtu flani, halafu eti nikomae na matatizo nijidai najua kuyaface! Bora niivumilie biashara ambayo baadae inawezo ikanitoa kimaisha lakini sio hao watu

Sent using Jamii Forums mobile app
hilo swala la kukunjwa linategemea na aina ya mwanamke wako..
na aina ya mwanamke wako anareflect aina ya mwanaume aliye nae.
 
hilo swala la kukunjwa linategemea na aina ya mwanamke wako..
na aina ya mwanamke wako anareflect aina ya mwanaume aliye nae.
Hahhahhaha labda nikwambie tuu, nikikwambia ni mtu wa aina gani huwezi amini, halafu mimi ndio nilikata utepe! Bwana asifiwe nyingi lakin badae akabadilika ni story ndefu ila utakuja kuona nawewe oneday

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uaminifu kwa jinsia zote umepungua..mara nyingi vimeletwa na utandawazi na malezi mabovu..
na jinsi maisha yanavyokwenda mnavyowaachia watoto wamama wawalelee ndivyo mnazidi kuharibu kabisa

Hapo ndiyo tatizo lililopo....unaweza kuhitimisha wanaume wanawaachia wamama wawalelee ila yapo mengi saana.

Mwanamke wa sasa kulea mwenyewe sio tatizo sio ishu yaani hivyo tatizo lililofanya bibi na babu kutofautiana mwaka 1965 ila wakaweza kulikimbia likiikuta ndoa ya sasa ni divorce...si ninaweza kulea mwenyewe kwanini unisumbue?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom