Nipeni njia sahihi ya kumuacha huyu mchepuko...

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,751
Reaction score
63,476
Nipeni njia sahihi ya kumuacha huyu mchepuko...
Lengo la kuachana naye ni ili uchumi wangu utulie nifanye mambo ya msingi na yenye tija.Nimejikuta nikitumia garama zisizokuwa za lazima kugaramia vitu ambavyo havitanisaidia huko uzeeni. Nikimuambia nataka tuwe marafiki wa kawaida tu kwa sasa,ila tusitishe mapenzi...anakuwa analia na kuniuzunisha.mwisho wa siku najikuta nabamiza tu...na mwisho wa uhusiano haufiki.Je wakuu nitumie njia gani ya busara kusitisha huu uhusiano.
 
Kapime HIV mwambie dokta akuandikie uko HIV+ mletee muonyeshe,akikaza badoo

usiku mkilala siku 1 jifanye unaota anza kuongea sema jina la mwanamke mwingine kabisa mfano Sema Grace mke wangu nakupenda sana,ntakuoa mapema tu,nasuburi niachane na huyu gume gume (unamtaja jina huyo mpz wako),hakikisha unaanza kuota muda ambao ataskia ukiota.

Akikaza tena, siku 1 jifanye una majini jidondoshe halafu sema kwa nguvu "Nataka nyamaaaaaaaa,nataka damuuuuu ndiooo nataka damuu ya flani (unamtaja jina huyo mpz wako) hapo hakikisha upo serious sema nataka kula mtuuuuuu...

Akikaza tena, Huyo mkeo nakwambia usimuache aseeee hamna namna utakua umeshanasa tena.
 
Loooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayayaaaa unataka kumwacha na ule msambwanda wooote unawaachia wajanja dah komaa ivoivo ata ukifa maskini lakini umefaidi msambwanda wa mchepuko
ha ha ha ha nimekosa la kujibu mkuu
 
Kapime HIV mwambie dokta akuandikie uko HIV+ mletee muonyeshe,akikaza badoo

usiku mkilala siku 1 jifanye unaota anza kuongea sema jina la mwanamke mwingine kabisa mfano Sema Grace mke wangu nakupenda sana,ntakuoa mapema tu,nasuburi niachane na huyu gume gume (unamtaja jina huyo mpz wako),hakikisha unaanza kuota muda ambao ataskia ukiota.

Akikaza tena, siku 1 jifanye una majini jidondoshe halafu sema kwa nguvu "Nataka nyamaaaaaaaa,nataka damuuuuu ndiooo nataka damuu ya flani (unamtaja jina huyo mpz wako) hapo hakikisha upo serious sema nataka kula mtuuuuuu...

Akikaza tena, Huyo mkeo nakwambia usimuache aseeee hamna namna utakua umeshanasa tena.
Ha ha ha ha sawa mkuu
 
Mpwa tumia hio dawa
IMG_20200107_064521.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa ufanye mambo ya msingi ili iweje?life iko too short...enjoy while you are at it manake hata huko uzeeni hujui kama utafika

Acha uzembe endelea kubamiza
ha ha ha ha sawa
 
Back
Top Bottom