Hello! Mr, Right na wakenya

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
904
526
Habari wana jamvi. Hello mr right ni kakipindi fulani kanako endeshwa pale kenya na RAMBO TV, kakizaminiwa na startimes.

Kipindi chao kina husisha single boys &single ladies. Nimeshindwa kuelewa maudhui ya ke, je nisuruhisho kwa madomo zege ama la? Mbona hakuna mresho wa wale wanao patana mr &mrs right. Mahost wa kipindi hiki ni DR. IFUKWENYE, SIDIKA VERA NA KAPYENGA.

Najiuliza wale madada wanao jitokeza kutafuta single man siyo malaya walio kubuhu kweli! Wanatumia vigezo gani kuwasajili wale mabinti? Unadhani hiyo kitu ni njia sahihi ya kumpata mume au mke sahihi wa kuishi nae? Binafsi naona haiko pouwa. Mdau unaonaje?
 
Hiyo nishaiangalia ya kichoko... Kuna nyingine inaoneshwa embru Tv, inaitwa "Perfect match" .. Yani hiyo mnakutana tu wawili .. Kama huja muelewa unaletewa mwingine...

ila ukiitisha date lazima ununue chakula
 
unajipiga kizinga mwenyewe yaani
 
Back
Top Bottom