Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

DUNIA ya mapenzi kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia, huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka si rahisi sana kumfikiria anayelia, anaamini kama vile mambo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, kuna mwenye rafiki wa utotoni ambaye siyo marafiki tena. Kwa namna moja ama nyingine, kuna marafiki ulikuwa nao leo haupo nao tena. Nini sababu? Kuna sababu mbalimbali ambazo hufanya...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF? Niende moja kwamoja. Bwana harusi mmoja nchini China akiwa ukumbini aliamua kuonesha video ambayo inamuonesha mke wake akifanya mapenzi na mume wa dada yake chumbani. Bwana...
2 Reactions
51 Replies
12K Views
Habari wana jamvi. Hello mr right ni kakipindi fulani kanako endeshwa pale kenya na RAMBO TV, kakizaminiwa na startimes. Kipindi chao kina husisha single boys &single ladies. Nimeshindwa kuelewa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu. Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika...
3 Reactions
106 Replies
20K Views
Asilimia kubwa ya mabinti wazuri wana watoto. Kila demu mzuri utakuta tayari kazalishwa. Vijana ambao hamjaoa kazi kwenu maana mnaenda kuoa wake za watu.
5 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari wana-Jamvi, nilipokuwa naanza mahusiano na MPENZI WANGU nilimlaghai kwa kumwaminisha kuwa mimi namiliki makampuni kibao,ikiwepo KAMPUNI YA LUGUMI. Ilikuwa vigumu kuweza kugundua yeye Kwani...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Napenda kuwatangazia wana jf kwamba mwaka huu historia ya maisha yangu will change from senior bachelor to masters of couple. nahitaji kuoa ila mpaka sasa mchumba sina hivyo napenda kuwatangazia...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Tunaishi na wake au wanawake tuliokutana nao kwenye mazingira tofauti tofauti. Kuna mazingira ambayo ni mazuri sana kukupatia mke pia kuna mazingira mengine ni ya kiboya sana hayawezi kukupatia...
6 Reactions
100 Replies
11K Views
Kama heading ilivyo hapo juu. Nimetongozwa na muhindi roho yangu ime mdondokea ila naogopa. Hofu yangu ni je atakuwa ametoa mfuniko kwenye uume wake au ana govi! Sipendi mwana baba mwenye mfuniko...
4 Reactions
214 Replies
23K Views
Hivi mfano una mume unampenda sana,unamuheshimu mno lakini kama unamuogopa flan hivi je wadada mnafanyaje kuiondoa hii hali yaani umzoee mumeo uwe free nae sana. Unajisikia kumtania kila wakati...
0 Reactions
108 Replies
14K Views
Tangu nimezaliwa mpaka nimefikia hapa, sijawai kutembea na mwanamke yoyote mbali na mke wangu wa sasa, Nimekutana nae tangu shuleni yeye akiwa form two mimi form four enzi hizo bado tupo watoto...
23 Reactions
60 Replies
6K Views
Nina mchumba wangu (GF) ambaye nilianza uhusiano naye O Level 2016, muda huo nipo form 4 yeye akiwa form 3. Kipindi tunasoma sikuweza kubahatika kufanya naye mapenzi kwa sababu shule yetu ilikuwa...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Mambo vipi waheshimiwa. Mabaharia wangu si mnajua vile unakuwa unasumbuliwa sana na wife/demu home. Mara hivi mara vile, ugomvi kidogo anatishia kukuacha. Sasa akileta habari hizo wewe jitoe...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kabla naanza na kisa hiki. Mwanaume kaenda kanisani na mkewe.Wakati wa kupokea sacrament mwanaume bahati mbaya kadondosha kikombe cha shaba chenye divai, divai ikamwagika. Mwanamke na padre...
8 Reactions
77 Replies
10K Views
Papuchi inakutoa akili mpaka unahonga gari na nyumba wakati mama yako mzazi analelewa na taasisi ya kidini. ,Memba mwenzetu badirika bwana kwani inasikitisha sana
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wasichana wa Tanzania wanapenda sana wanaume wa Kenya, wana JF ni sababu zipi zinawafanya wapende wakenya?
0 Reactions
54 Replies
16K Views
Habari wanajamvi heri ya mwaka 2020 Kwa wale ealiona wenzi wenu tuambie ulipataje najua wangine walisota sana wengine kama walisuka mlevi shimoni na nk. Mimi binafsi ilikuwa hivi, nilikuwa...
27 Reactions
74 Replies
7K Views
Back
Top Bottom