1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye mwenyewe hajipendi.
2. Mtafute MUNGU kisha tafuta mwanamke bora. Ukiwa na hayo mambo mawili, suala la hali ngumu ya uchumi binafsi (financial freedom)...
JIFUNZE KUMUACHA AENDE
• Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha.
MUACHE AENDE !
• Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha...
Niko napambana kujenga familia yangu ya baadae na wewe mke wangu nilindie tunda wasije mabaharia wakalila kimasihara
Baada ya miaka mitano naamini tutakuwa pamoja sijui hupo mkoa gani au nchi...
Dodoma bhana.Hatari sana.
Wadada sijui wametoka upande gani wa dunia,na sijui wamefundishwa wapi kufanya massaging. Wako competent mno, huduma zao zinatisha.
Nilienda massage fulani. Aisee...
Yupo pande za Segerea { siyo gerezan ndani}, vivazi vyake.mambo yake na maisha yake full uanamke.. jamaa na baadhi ya ndugu zake wanasema ingawa anavaa kama mwanamke kuanzia mavazi,urembo nk...
Amani iwe kwenu wapendwa.
Nimeamua kuwashirikisha jambo hili yumkini kama yupo aliyewahi kupitia hali hii basi anisaidie japo ushauri natokaje katika hili.
Japo nitaeleza kwa kifupi ila mengine...
1. Kusamehe
Ni vigumu kuwa katika uhusiano halafu uwe hauna moyo wa kumsamehe mpenzi wako. Kawaida katika mahusiano, huwa kuna changamoto kadhaa ambazo hujitokeza hivyo lazima uwe na tabia ya...
Uwapo na mpenzi wako mtumie vizuri.
Ipo siku mtaachana na atakupa maneno ya kejeli yanayoweza kuumiza moyo au utu wako.
Jitahidi kupiga show za kibabe ili kila anapokuona awe anaona aibu...
wakuu salam,nimesafiri na mshkaj wangu tukitokea musoma lakini huyu mshikaj amestaajab jinsi wanaume wa huku wanavoongea kiswahili kila muda anadindisha akidai wanaume wa dar wanaongea kwa...
Kuna demu ananipenda ila anao wivu mpaka basi, akiwa na wivu hapokei simu. Najua ananipenda mpaka anachanganyikiwa tatizo mi bado najipanga kimaisha analazimisha mtoto wakati Mimi bado sipo poa...
Wakuu naomba kuuliza hili swali. Hivi mdada uliyemzalisha lakini kwa sababu flani flani ukashindwa kumuoa.
Hivi siku ukimhitaji anaweza kweli kukataa?
Mathalani mlidumu na huyo mdada karibia...
Mwili siyo kwa mapenzi tu. Tumia mwili wako kama asset ya kufanikisha malengo ya maisha yako. Utunze mwili ili uwe na afya njema ya kuihudumia jamii kwa ujuzi na maarifa uliyoyabeba.
Ni hasara...
Kama mwanamke ameolewa nyumba ipo mwanaume kajenga lakini kitanda alichokuwa anatumia mwanamke ni kizuri kuliko cha mwanaume, ni sawa watoe cha mwanaume waweke alichokuja nacho mwanamke? Au...
Kuna sababu nyingi za kuwa single.
Kwa upande wangu huwa najisikia mpweke sana mpaka natamani nipate namba ya dada yoyote nimpigie hata animalizie dk kadhaa. Pia hupoteza hamu ya kufanya kazi...
Nilichojifunza kwenye mahusiano,kwa asilimia kubwa hakuna 'win/win situation' bali ni 'win/lose situation' mwingine apoteze mwingine afaidi.Ndio maana kwa asilimia kubwa migogoro katika mahusiano...
Hii kitu ipo au uzushi tu? In struggle to give mupenzi wangu earth shaking orgasm I ve been searching for the elusive G spot bila mafanikio. HIi kitu ipo kweli?
Habari ya Mwaka Mpya wadau,
Jamani katika kipindi cha miezi miwili huduma ya mgegedo imekuwa ya kusuasua sana kutoka kwa mamito.
Visababu vingi visivyo na kichwa wala miguu, kasheshe mi siwezi...
2020 Ni mwaka wa maamuzi magumu, uzuri una baraka kama zote.
Kila mwanamke ana mwanaume mmoja yule anampeenda ila jamaa anakuwa na mashauzi kama yote, hataki hata kumsikia.
Na upande mwingine...
Siyo mkwe wangu kwa maana ya kuoa mtoto wake,
ila ni Mkwe wangu kwa sababu nilishamtafuna mtoto wake wa kike bila yeye kujua, hivyo mi namwita mkwe kama kumtania juu ya watoto wake ila ukweli ni...
Nilikukuta umetulia zako garden, nikasogea nakupiga story kidogo na haraka nikabaini wewe ni mjamzito.. Aisee nina mzuka sana na wajawazito ..nikashindwa kujizuia dushe likaanza kuwaka motoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.