Ananiita 'bestfriend' ila ananipiga vibomba sana, nimfanyaje?

Mapenzi yafanywa bidhaa
Mabenzi yakanya idhaa
Ushenzi wahanya ridhaa
Kuenzi kwahama kitaa

Ni kama dukani nunuzi
Ni pama sukani chukuzi
Ni kama buchani chaguzi
Ni nyama pimani shauzi

Hakuna tena pendana
Hakuna mema, pandana
Midomo sema, kazana
Kila mgema, chambana

Pendo kitovu uchumi?
Pengo kiovu Urumi?
Penzi si penzi, kubuni?
Ki mwanagenzi, rubuni?

Chambicho chatele mjini
Kijicho kwa kwere mtini
Kilicho kwa tele jinuni
Tonga Kichwele na Buguruni

Mwembetogwa umalaya
Mchafukoge kwa kaya
Tangu yaya, bila haya
Mwaka Kogwa ni mbaya

Kiranga ChaNgeda Sakala Kandumbwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumie meseji mwambie fulani mimi umekula pesa yangu muda mrefu saana.

Sasa ya leo naomba uifanyie kazi...njoo unipe papuchi kisha nitakupatia hiyo pesa mama.

Akikaa kimya nawe kaa kimya. Akikujibu vibaya kaa kimya. Reply meseji yake pale ambapo atasema haya nakuja kwako kukupa papuchi.
 
Back
Top Bottom