Nilimdanganya sana ili nipate tu 'mzigo', sasa nimezama kweli

fasi dwasi

R I P
Sep 23, 2018
105
98
Direct to the point!
Huyu demu bhna nilimpata kupitia mitandao ya kijamii facebook kupitia account moja hv fake ambayo niliifungua kwa jina la msanii flan hv mkubwa tu hapa Tz


Siku tunaanza kuchat alikuja mwenyewe inbox kupitia ile account yangu fake then alijitambulisha akaniambia na yeye anatamani kuimba na kuwa msanii mkubwa kama mimi anaomba ushauri afanyaje na nimsaidie vipi.

Mi nilimjibu usiwe na wasiwasi nitakuunganisha na ndugu yangu ambaye yeye ndo yupo nyuma ya panzia yangu yan ananitungia nyimbo, ananiandalia majibu ya interview, ananifanyia kila kitu mimi ndo niwe star hapa Tz. Basi yule dada baada ya kuskia hvyo alishtuka akaomba sana msaada wa kuunganishwa na huyo midfielder wa huyu msanii mkubwa.

Nikamwambia ucjal subir niombe ruksa kwake akiniruhusu nitakupatia, bas asubuh mapema nimeingia messenger yule demu ndo wa kwanza kunitafuta mara mambo? vp uliongea nae yule jamaa? naomba plz plz plz! nisaidie tafadhali! Ile asubuh sikujbu kitu ili aone mi ni mtu wa busy yan.

Mchana nikamtumia number za cm yan hapo maana yake nilimtumia number zangu za cm mwenyewe kuptia messenger nikamwambia ongea nae mwambie mimi ndo nmekupa hzo number taja jina langu. Aah yule dada alitoa shukhran mara 70 na kuahidi kunishirikisha kwny mafanikio yake alifurahi sana.

Muda c mwingi alinpgia cm ambyo skupokea, baadae alinfuata whatsapp tukaanza kuchat, maswali na kunihoji kibao.

Pale nikamwambia mi nmefanya kazi na nafanya kazi na watu kibao, naandika nyimbo za wasanii wengi ukiacha yule aliyekupa number zangu za cm na naimba ila kwa sasa bado siwez kuingia ktk kulitangaza jina langu kwa maana bado nasoma kwanza.

Yulr demu kwakweli alipagawa na CV yangu yan hapohapo akaomba appointment y kuongea zaid. Nakumbuka nilimpangia sku ya jmoc tukutane pale maeneo ya Ubungo Maziwa, ile sku ilipofika nilitoka nkaenda kwny kijihotel flan hv pale kinaitwa Moveck Hotel, niliketi pale chini huku napata kinywaji mara mtoto huyooo kaja na gari mtoto.

Daah asee yule demu bada y kumuona mwenyewe nilipagawa mtoto mzuriiiiiiii, cheupeeeee yan daah we acha tu. Kidume nikajikaza na miconfidence y kufoji tena hapo.

Amefka kaagiza maji tu huku tunapga story daah yule demu nilimdanganya paka huruma akajaa tooop, nilipothibitisha kaniamini sana nikaona subr nitumie huu udhaifu wake, nikamuomba nipande nae juu ghorofan chumba number flan khan nmechoka kuendelea kukaa palr chini, daah yule mtoto bila kinyongo akanipa ucjali, tumefka room na story mbili tatu mara nikimuangalia machoni yule mtoto naona hajiwezi kabsa kuna kitu anadai, nimegusa tu kitu kimejilaza kitandani daah mtoto akaliwa kiulaiiiini sana tu, lilipigwa game pale paka sku ya pili jpili.

Asbuh tumeamka nakumbuka nilikuwa nina 3,600 af nikaanza kufkria hapa tukisema tuanze mambo y chai haps cjui supu vitu vitaharibiks bac nmetoka kuoga nikajipgia cm, nikazuga pale nikajifanya naitwa haraka sana na msanii fulan hv nahtajika nitoke.

Yule demu kaniomba nimsubir bac ajiandae ili aniwahishe na gari nikamwambia ucjal nakuchukua bajaji hapo then nawahi Masaki. Bas kakuwa alikuwa ni ananiogopa na ananishtuka ilibd akubali maana alishaona me ni mtu wa busy sana.

Nikashuka nkachukua bajaji kwa 2000 mpaka Mawasiliano, nikashuka then nikachukua zangu gari ya Mbagala Kizuiani

Daah sasa shida ilikuja baada y kuachana palr yule demu kila dakika kapga cm ooh baby mi cjawah kufka studio nipeleke hta sku moja. Baada y ile sku tulikutana km mara tatu hv tena na kila tukikutana mi na yye ni mwendo wa kugegedana tu. Kwakweli ni msichana mzuri sana

Huu uzi nimeuleta kwenu kma tatizo kwa maana kwamba huyu demu paka sahz mi nmekutana nae zaidi ya mara 4, ni mzuri sana tena sana na ni mstaharabu sana binafsi nmetokea kumpenda na nimejikuta nazama kweli kwake ila shida ni kwamba huyu demu nilimdanganya sana na tayar yeye ana matumain ndoto zake atazifkia kuptia mimi, kila akikaa na mimi mara zote yye anataka tuongelee njia za kufankiwa ktk music hapa huwa najitahd kuzitoa kichwa, shida inakuja pale akitaka nimuimbie yan mi kuimba ndo cjui chochote, studio hata cjui inafanana vp yan.

Pia napata wkt mgumu kwa maana kwamba huyu mtoto tyr anajua mi ni wa kishua na peza zipo ingawa hajawah kuonesha tamaa y pesa wala kuonesha dalili ila kwa picha niliyomuonesha tangu mwanzo ndo anajua hvyo.

Kwa sasa nimezama kwake na nmejikuta nmemzoea sana ila nashindwa yan maana nahc nikimwambia ukweli mapenzi ndo yataishia hapohapo na km kuendelea kumpiga kamba nitampga kamba mpaka lin? nataman awe anakuja hata getto langu la kizuian pale tulale wote kwny godoro nililotandika chini pale lkn naanzaje? Kwakweli npo ktk wkt mgumu ingawa najua nimejitakia mwenyewe lkn haizuii kunifanya nipagawe km kuna mtu anacho cha kunishauri jmn
 
Write your reply...Ufahamu wa hadithi yako una maswali mengi sanaa.
Kiufupi uandishi wako mkuu alalalalalaah!!!.
 
Back
Top Bottom