Hi wanazengo, mm ni Kijana in his mid 20's, vigezo vyangu ninavyoangalia kwa mke ntakaemuoa si vikubwa, yani idadi ya vigezo vyangu vya mke ninaemtaka, mainly ni viwili tu... ila sasa haya ndo...
Habari JF..mm ni binti nina boyfriend wa muda km miaka 7 now.
Bahati mbaya sn nilikoseaga nikaenda kuishi nae tena nyumbani kwao kabisa mamamkwe na wawifi wote wapo. Hajanitolea barua wala...
Habari wadau wa JF.
Mdau mwenzenu nadhani nimefikia tamati ya ujana. Niko na mwenza ambaye kiukweli, anatarajia kuwa mama watoto mwaka huu.
Kwa kipindi changu chote cha mahusiano karibu miaka...
Habari za mwaka mpya!
Nmeachana na mwanamke mwaka jana japo aliondoka kwa nguvu zake. Kinachoniuma mazingira ya kwao hayaridhishi, yani ni poor family sasa nikivuta picha alivyokuwa kwangu. Na...
To all women friends, young to old sisters here on JamiiForums.
Before starting I would like to congraturate every one here in JamiiForums for being rewarded by God to commence the beautiful and...
Nimeona clip inasambaa kuna demu kabambiwa kwenye daladala hadi kakojolewa demu kamkunja jamaa kampa vichwa na ngumi. Si umuambie tu msela kama ana hengachifu akufute tuu. Mbona kwenye mziki ma...
Asalam Wakuu.
Nipo kitandani tangu saa10 jioni, kichwa kinagonga sana ninavyojisikia sielewi namna ya kueleza lkn namuomba Mungu nipite hii njia salama. Nmevunjika moyo vipande vipande.
Najihisi...
Salam Waungwana"
Kama Ambavyo mnavyo tambua" Mapito Yetu Ya maisha Yamefungamana na Matukio Mengi sana Yenye kufurahisha/Na kuhuzunisha "...
Hivyo Basi Kuna watu ambao Walikuwa nasi au bado wapo...
Katika maisha yangu nimeshuhudia watu wane wenye sauti zilizobeba mamlaka... Akisema neno hapa mirindimo yake huenda mbali sana halafu wala hatumii nguvu na wala mishipa ya shingo haimsimami wala...
Siku kama ya leo miaka kumi iliyopita niliandika shairi (POEM) flani hivi ambalo lilitokana na uchungu wa mapenzi.
Kama walivyosema watu wa kale, "mtu akipenda si ajabu kuwa mshairi" na mimi...
Wapendwa Taifa la Mungu, Mafrateri hawa (pichani chini ) walitekwa na watu waliokuwa wamejihami kwa silaha walipovamia Seminari kuu ya Mchungaji Mwema (Good Shepherd Seminary) iliyopo Kaduna huko...
Wapendwa habarini za asubuhi!
Kwa uzoefu mdogo nilioupata hapa MMU ni kwamba wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalama juu ya wanawake mara ooh wanawake sio watu, mara wanawake na matusi na nyingine...
Hata utemewe mate hata akutukane wewe unaempiga mwanamke usifikirie kua utaingia mbinguni. MKE! toka mwanzo adi mwisho mke hapigwi.. Kuanzia Leo acha kumpiga mke wako na Mungu atakubariki
Sent...
Duh nimekaa na kutafakari juu ya story nilizosikia na ninayoona kwenye ndoa za SIKU HIZI naona ZINANIKATISHA TAMAA KABISA KUOA..!!
1. Ya MABESTE mzee wa ""Baadae Sana"
Huyu msanii alifunga ndoa...
Wakuu Saalam Tunao Enda Kuoa Tuna Kutana Sana Na Haya Mambo
Jamani Naomba Kuuliza Haya Nimajibu au Shopping Ya Vitu
Naje Inaulazima Gani Kuamishia Duka Ukweni Maana Hili Nalo Duka Kbs Na Mtaji...
Majuzi niliwakumbusha wanaume Wenzangu kwenye huu uzi hapa Wanaume wenzangu hakuna tuzo za kugegeda, UKIMWI upo
leo naomba kuongea na wanawake kwani wao ndio chachu ya maambukizi ya magonjwa za...
Hizi style za mizinga zimezoeleka sana mpaka zinachosha kusikiliza.
1. Kuna msiba naomba uniongezee nauli nikazike
2. Mama anaumwa nataka nikamwone
3. Simu yangu imedumbukia kwenye maji nataka...
Wakati nikiwa nimelala pale kitandani nilisikia mlango ukigongwa na sauti iliskika ikiwa inaita kwa chini "huku akiniita jina langu....nifungulie mimi Hamida" nilitoka pale kitandani mbio kuelekea...