Wadada wapole,Mungu awabariki!!

Wadada wapole,Mungu awabariki!!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,832
Sio ule upole wa kutafuta mume,naongelea upole Asilia mliobarikiwa na Mungu....Yaani kumbe ni wakorofi hivi mnapokuwa chumbani,mnakuwa km watoto wa chekechea Aisee! Ila mkiwa barabarani mnajikausha km sio ninyi yaani serious Safi sana mbarikiwe na hongera sana.
 
Ha ha! Mkuu hao ndo wadada wadurufu! Ukisikia Ubinadamu kazi ndo hao nje kama si yeye na ukikuta mpole utafikiri unaenda kumuonea kumbe unaenda kuonewa!😜
Hawa ndo wanafanya jina mwanaume kubadilika kuwa KAMBARE!
 
Hujakutana na wapole boss. Umekutana na mpole kwa nje ila ndani moto.

Ukikutana na mpole utafurahi saaaaana aisee! Mpole halisi hata mambo yake ni silent, Upole nje na hata ndani. Hata sex utahisi unamuonea! Kila kitu kinakuwa kwa ustarabu.

Ila unatakiwa uwe makini na mchunguzi ili ujue nini anapenda na kipi hapendi. Ni wasiri sana pia. Akikwambia jambo ujue kamaanisha.

Sintamsahau na sijui alipo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nachowapendea wadada wapole ni wasiri mno, ukorofi wahuko ndani tutavumiliana
 
Na wanaongoza kuliwa sana na pia kucheat wapo vizuri kwa sababu wanaume zao huwaamini sana
Sio ule upole wa kutafuta mume,naongelea upole Asilia mliobarikiwa na Mungu....Yaani kumbe ni wakorofi hivi mnapokuwa chumbani,mnakuwa km watoto wa chekechea Aisee! Ila mkiwa barabarani mnajikausha km sio ninyi yaani serious Safi sana mbarikiwe na hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom