Mara ya Mwisho kuachwa/kuacha

Mara ya Mwisho kuachwa/kuacha

Mimi sijui hata kama nilishawai kuacha au kuachwa,uwa naona tu hatupo pamoja na maisha yanaendelea.
 
2008...aliniomba nimsomeshe nikakumbuka mchumba hasomeshwi
 
Mo hata simuelewi uyu mwanamke wa chuo naona tu kila mtu kmya tunaonana kwny ku view status tu basi sjui tuko pamoja au vp

yess BiShoo haswaaAaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom