BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Alisepa kwa nyodo tulipoachana kisa sina hela wala ajira
Nikambembeleza arudi lakin waapi
Nakumbuka alinipa jibu mpaka siku nikaiona chungu
Nikapiga moyo konde kutafuta pesa
Maisha yakaenda angalau hela ya mboga sikosi
Akantafuta akiwa mkoan nikawa namjibu poa tu
Akaomba kurudi nkampa live kuwa siwezi kmuamini tena...akamaindi akala buyu...nami nkala buyu
Sasa karudi dsm...anatuma salam kupitia ndugu zangu
Nami nkawajibu bila kupindisha maelezo
"Mwambie aache unafki....namba yangu anayo"
Sent using Jamii Forums mobile app