Nanyimwa chezo baada ya kulipia guest

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,236
14,205
Wakuu nipeni ushauri baada ya kuelezea mkasa huu, kwamba nipige chini au niendelee?

Ni wiki moja sasa imepita tangu nimtongoze binti mmoja mtaani kwetu ambae si mwenyeji sana pale kitaa.
Yeye ametokea Dodoma na amefikia kwa mama yake mdogo Dar, lengo ni kuja kutafuta maisha. Elimu yake ni Darasa la 7. Ni msichana mrembo sana na mkubwa kimwili. In short kwa upande wangu amenivutia mno.

Siku 3 baadae (baada ya kumtongoza), nikaanza harakati za kufosi chezo. Ukiangalia na yeye kwa mujibu wake ni kwamba anahamu pia, aliniambia ana muda mrefu tangu siku ya mwisho alipoliwa mambo. Nikajiona mwenye bahati sana, yani chapu Mbuzi kaja kufia kwa muuza supu.

Kesho yake ikabidi nipange mipango ya show. Kumbuka mwezi wa 1 huu hali ni ngumu, nilikuwa na kama 30 moja hivi kwenye balance yangu. Nikapiga hesabu chapu kama nikilipia Guest room 15, dogo namuungia 5, na 10 inayobaki nifanyie mambo mengine.

Muda ukafika, demu alijiandaa vizuri, nikikumbuka na pigo alizopiga siku hiyo.. Dah!!! Ni majanga!
Njiani nilihisi wachawi kibao wanatukodolea macho maana sio kwa balaa lile.

Kidume nikatangulia Guest huku mchumba akiwa nyuma yangu, nikafungua pochi nikatoa Simba mmoja na kifaru wake. Wakati huo mchumbwa ananiona ninavyopasuka. Tukakabidhiwa room then tukachoma ndani.

Kilichotokea ndani sikutegemea. Nikawa nawaza tatizo ni level ya elimu ya huyu demu ama nini.
Amegoma kabisa kutoa mali. Sababu akisema eti "Wanaume siwaamini! Leo unafanya nae, kesho anakutangaza mtaani"
Iliisha hivyo yani, maana nilibembeleza bembeleza na wewe.

Hatukufanya chochote, mpaka tunatoka demu mkavu usoni huku mwanaume nikiwa na ghadhabu moyoni.

Naona nisiendelee kilichotokea njiani. Ila mpaka hapo wakuu, mnanipa ushauri gani?

Nitembee mbele au nirudi kumalizia kiporo changu?
 
Saa zingine wanaume tuwe smart kwenye gemu na haya mambo. Kuna njia zingine mwanamke anakupa ishara anakupenda ila hataki kukupatia ngoma ila tunakuwaga vipofu wa akili na hufuata majuto.
Kaa tafakari, labda kuna kitu anakuambia.
 
Kwanza umetutia aibu kumuingiza mfugo kibla na kushindwa kumchinja na kumla hiyo ni fedhea hivi we ni jinsia yetu kweli embu jicheki vizur unaweza ukasema we ni mwanaume hauna uke kumbe kwenye mbavu una uke umeota ndo unakuletea hzo tabia

Cha pili ukimpotezea atajua we ndo walewale wapenda mchezo cha kufanya muaminishe we ni wa tofauti na wengine kumbe ndezi tu

Na ukimpotezea kikao kijacho rudisha kadi ya chama cha ubaharia na uanze kununua nguo za pinki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ulishindwa kumvua pichu kindakindaki, Nina imani we sio baharia...yani mi demu akishazama tu geto au guest huyo lazima nibandue hata kwa makofi...yaani umepoteza kumi na dasi na muda wako kizembe...
 
Aisee, kwa hiyo ulishindwa kumshawishi hapo hapo kuwa wewe siyo kama hao wengine?kukubali kuingia gesti tuu ameshaliwa kwa 90% ingekuwa home kwako hapo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza umetutia aibu kumuingiza mfugo kibla na kushindwa kumchinja na kumla hiyo ni fedhea hivi we ni jinsia yetu kweli embu jicheki vizur unaweza ukasema we ni mwanaume hauna uke kumbe kwenye mbavu una uke umeota ndo unakuletea hzo tabia

Cha pili ukimpotezea atajua we ndo walewale wapenda mchezo cha kufanya muaminishe we ni wa tofauti na wengine kumbe ndezi tu

Na ukimpotezea kikao kijacho rudisha kadi ya chama cha ubaharia na uanze kununua nguo za pinki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaa kweli we Mlevi Mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alivyokujanako humu
IMG-20200124-WA0017.jpeg
 
Mzee hilo suala ni dogo saana, mtafute Zero IQ akupe ushauri sahihi kabisa.

Pole mzee, mzigo machinjioni alafu umetoka hata kupima oili?
Kuna muda nilimpiga vijineno vichache akakaa sawa. Nikafanikiwa kutoa cha juu hadi kumpandisha dogo kiunoni. Nilipotaka kuanza kukamua tui na kupata majagi kadhaa, dogo akashtuka tena. Akarudia msimamo ule ule.
Nilichoka kwa kweli.
 
Back
Top Bottom