SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 910
- 742
Kuna binti enzi za o-level nilimfukuzia kumpata kwa bahati mbaya sikuweza kupata chance hata ya kuongea nae, kwa bahati fulani ivi binti alichaguliwa kujiunga O-level form one kipindi kile 2012 wakati anajiunga mimi ndo nilikiwa namaliza Form 4, basi bwana kwa bahati mbaya sikuweza kupata ukaribu wake wakati huo japo yeye alikuwa hanifahamu ila mimi ndo nilikuwa namjua.
Mwaka 2017 kwenye pita pita za Facebook nikaweza kupata mawasiliano yake, tukawa tunachati Fb nikaamua kumfungukia kuwa nilimpenda sana tangu way back miaka hiyo ya 2012 mpaka sasa bado nampenda tukabadilishana namba za Whatsapp, tukaanza kuchati kupitia huko tatizo binti hanifahamu mimi zaidi ya kuona picha zangu tu za Facebook ila mimi namfahamu.
Baada ya hapo binti kanikubalia tukawa wapenzi japo hajawai kuniona uso kwa uso,
kinachonishangaza binti anaanza kuniomba pesa eti nimsaidie ana shida.
Swali langu;
Sasa binti atawezaje kuniomba pesa wakati hatujaonana?
Si zitakuwa dalili za mizinga hizi?