BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Kuna wale wadada ambao ukishatongoza na kukubaliwa tu unakua baba.
Yan haishi kuomba vitu; vocha, utasikia hawajala kwao, mara anaenda sehemu hana nauli, anaenda sokoni kununua nguo atataka umpe na wewe pesa.
Majuzi nimekutana na mmoja. Huyo kachanganya Mrangi na Mgogo; imenibidi nibwage manyanga maana siyo kwa kuomba kule.
Hujatulia atasema anaumwa na hana hela ya dawa, mara mama hajamuachia hela ya chakula, mara vocha aweke bando aingie YouTube. Hapo akija ofisini atasema njaa inauma anataka chakula.
Yan nilipokamilisha tu lengo la kula mzigo, ikabidi nikimbie mita 200 na hata sikugeuka nyuma.
Ukisikia mwanamke chumaulete ndo wa aina hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app