Msimu wa "Mapenzi Mubashara" umewadia

Msimu wa "Mapenzi Mubashara" umewadia

STUKA M1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,703
Reaction score
7,326
Haya, jamani msimu ndo huo unainga soon baada ya huu mwezi dume unaotarajia kutamatika leo..
Ni mda sasa wa kuchagua the best partner ili usirebuke nae katika hiki kipindi adhim cha "Mapenzi Mubashara" usisahau na pamba Kali za kutoka nazo hyo 14 February..
Kaulimbiu, "Mtunze, mjali ,mthamini na kamwe usimuumize huyo ni wako"

Karibu sana Msimu wa Mapenzi..
 
Back
Top Bottom