Huyu msichana Anaeleweka Kweli?

Huyu msichana Anaeleweka Kweli?

Kijana Mtoto

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
12
Reaction score
60
Habari Wakuu,

Me Ni Mvulana Wa Miaka 21, Nina Mpenzi Ambae Nimempata Kama Week 2 Zilizopita,Nilimtongoza Na Akanikubalia vizuri tu.

Cha Kushangaza Ni Kwamba Sometimes Hanitafuti Hadi Me Ndo Nimkumbuke Kumtumia Text...

But Nikimuulizaga Kwamba Ananipenda Kweli Anajibu Ndiyooo...

Je Hii Ni Kawaida Au Kuna Tatizo?
 
Kwa kuwa bado hujapata kuchakata papuchi yake endelea kumtafuta. Ila ukishachakata kibao kitageuka. Utakuja hapa kutuambia huyu demu anakera kila muda anataka tuchat tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wakuu,

Me Ni Mvulana Wa Miaka 21, Nina Mpenzi Ambae Nimempata Kama Week 2 Zilizopita,Nilimtongoza Na Akanikubalia vizuri tu.

Cha Kushangaza Ni Kwamba Sometimes Hanitafuti Hadi Me Ndo Nimkumbuke Kumtumia Text...

But Nikimuulizaga Kwamba Ananipenda Kweli Anajibu Ndiyooo...

Je Hii Ni Kawaida Au Kuna Tatizo?
Akili za Mvulana kweli!

Mtafute tu. Maana usidhani uko peke yako. Uko kwenye ushindani hapo.

Kutongoza na kupiga show ni jambo moja ila kuna kuendeleza mahusiano yenu. Acha uvivu wa kumpigia na ku-text.

Kuna kuwinda, kukamata na kumiliki na kutunza mahusiano yasivunjike. Ukiyamudu utakuwa mshindi kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom