Mganga wakienyeji kafa kaoza kwangu

Mganga wakienyeji kafa kaoza kwangu

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,168
Dah wadau nashindwa nianzie wap nimemtongza mganga wa kienyeji bila mm kujua nimefuatilia juzi ndo nimekuja kugudua kuwa ni mganga kusema kweli ni mtam ila tatzo yy ni mganga na mm na watu kama hao nipogo mbali nao sana nifanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kombora...
tapatalk_1575720251475.jpeg


dodge
 
Broo acha woga bado January hii watu deal zao mjin haziend vzur wanategemea maujanja ya mganga alaf unazingua .. Utakuwa huna tofaut na mtu aliyepata zali ya ulaya akalikata
 
Broo acha woga bado January hii watu deal zao mjin haziend vzur wanategemea maujanja ya mganga alaf unazingua .. Utakuwa huna tofaut na mtu aliyepata zali ya ulaya akalikata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]stak kutangulia mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom