Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,262
- 64,379
Kwa nyie mlio-oa au ku-olewa;ikitokea nafasi nyingine ya kumuoa au kuolewa na uliye naye,je uko tayari kuendelea na uliye naye?kama jibu ni ndiyo/hapana...sababu ni zipi?
Sababu inaangukia kundi lipi; uchumi,ubahili,uhuni,ukorofi,hawezi mambo au ipi?
kwa nini mkuu,umejeruhiwa na nini?
Kwa nini mkuu?Sidhani kwa kweli
Bahati nzuri mambo anayaweza haswa. Anaboa mambo mengiSababu inaangukia kundi lipi; uchumi,ubahili,uhuni,ukorofi,hawezi mambo au ipi?
ha ha ha ni chaguo lako
Wewe kwa mfano, ukiambiwa uchague nguo mpya au kuu kuu, utachagua ipi?Kwa nyie mlio-oa au ku-olewa;ikitokea nafasi nyingine ya kumuoa au kuolewa na uliye naye,je uko tayari kuendelea na uliye naye?kama jibu ni ndiyo/hapana...sababu ni zipi?
Itategemea na aina ya nguo mkuuWewe kwa mfano, ukiambiwa uchague nguo mpya au kuu kuu, utachagua ipi?
Utupe na sababu.
kama usaliti wa bahati mbaya unaweza kusamehe
Bahati nzuri mi sio msaliti.
Kwa mfano, Chupi mpyaa na mbovu?Itategemea na aina ya nguo mkuu
ha ha ha hapo lazima nichukue mpya,kwa sababu itakuwa inanisitiri vizuri;lakini kama aibani maeneo muhimu..naweza nisiichukue nikabaki na yazamaniKwa mfano, Chupi mpyaa na mbovu?