huu, msemo ndoa ni ndoana!

hyunhah

Member
Jan 25, 2020
63
63
Habarini wana jamvi, ni jumamosi tulivu hali ya hewa nzuri mkoa niliopo, kabla ya kuwachosha nipo nimepumzika nyumbani tu. Ghafla limenijia wazo akilini huu msemo wa ndoa ndoana nimejitahidi kuutafakari miaka mingi sana leo nimeona nijaduliane na nyinyi wakubwa.
Msemo huu nimeugawa katika makundi mawili kwa waliooa na wasio oa. Tukianza na neno ndoa wengi wetu tunaelewa, shida ipo kwenye ndoana . ndoano au ndoano nimevuta picha nikimuona mvuvi anaweka chambo kwenye ndoano then anatupia mtoni ghafla katoka na samaki.Ghafla napata wazo kuwa hakuna ndoa bila ndoano maana hata samaki mda mwingine huitema ndoano na kula chambo tu.
Hapa nina maana kwa wale wenye matatizo ya ndoa na kupeana talaka basi hapo samaki kitema chambo kwenye ndoano. Na kabla ya kuachana hapo ni kama samaki alipokua kwenye chambo.
Nakipindi cha migongano na ugomvi katika ndoa ni sawa na kipindi samaki anaidokoa dokoa ndoano kabla ya kuimeza na mvuvi anakua mtulivu tu wakati samaki analeta mzaha. Kwa maantiki hiyo basi niwazi msemo huu wa ndoa ni ndoano,
Alichukuliwa mfano kwa mvuvi ndoano na samaki.. basi ni wazi ndoa haina tofauti cha kisa cha mvuvi na samaki.Kuna kipindi mvuvi hapati shida kabisa anaweza akatupia ndoano yake mtoni mara moja akapata samaki, na kuna kipindi ndoano hukatwa na samaki na kuondoka nayo kabisa. Katika maudhui haya hakika ndoa ni ndoano. mwenye mawazo tofauti tumalizie siku ya mapumziko nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
changamoto ndani ya ndoa baada ya kuoana ndio maana ya ndoano mkuu
 
Back
Top Bottom