Wanawake wasioolewa na wanaoachika ni walewale

Wanawake wasioolewa na wanaoachika ni walewale

John Elia

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
87
Reaction score
96
Nilijipa muda kidogo kujua sababu za wanawake wanadai wanakosa wanaume wa kuwaoa na wale wanaolani wanaume kuwa si watu wakaamua waachane nao, Tabia za wanawake hawa zinaenda kufanana na hizi ni miongoni
Utegemezi kwa wenza wao uliopitiliza
UVIVU HADI KITANDANI WAVIVU,
WANAROHO YA UMIMI WANATAKA MATAUKWA YAO TU,
HAWAJISHUGHULISHI WANAPENDA KUOGA NA KUBANDIKA KOPE NA KUCHA
KIUJUMLA HAWAFAI KAMA UNATAKA MAENDELEO


KUWA MAUKINI NAO
 
Kwani bado kuna watu mnataka mpenzi asie na kasoro? Mtengeneze mwanamke unaemtaka wanawake wote wana akili flan za kinanii sasa akimilikiwa na gentle mmoja aliemaliza mambo yake basi lazma ambadilishe..nyi watoto wa 28 26cjui mpoje[emoji848][emoji23]

Nakala kwa MLEVi Mmoja [emoji851][emoji851]
 
Back
Top Bottom