Heshima: Mambo ya Kufanya ili Upate Heshima Kwenye Jamii na Watu Wanaokuzunguka

The Alchemist

Senior Member
Jun 15, 2016
177
148
Wote tunahitaji heshima. Iwe ni kutoka kwa bosi wetu, wafanyakazi wenzetu, marafiki na familia.

Heshima hutafutwa. Hupewi tuu kama ujataka. Sio karanga za kuonja. Lazima kwanza ujifunze kuheshimu wengine, ujiamini na utengeneze uaminifu.

Nashawishika kuandika haya kwa sababu ya kisa cha kaka yangu alichonielezea na mtoto wa bosi wake. Kwamba alimtumia ujumbe wa mwaka mpya, lakini hakujibu hadi wiki moja baadaye japo alisoma na alionekana mtandaoni.

Kaka aliniuliza mdogo wangu, nifanyeje ili uyu bwana mdogo aniheshimu. Naona hana heshima kabisa kwangu. Wakati ananiuliza haya akawa tayari amesham-block. Nilivoaza kumshauri, nikamwambia kwanza iyo ni mistake, mtoe kwenye block list. Umeonyesha udhaifu na kujipendekeza kwa kumblock maana ulitaka attention yake sana na inakuumiza kama ujaipata. Njia moja, mwonyeshe mtu kwamba, huna interest naye, kuwa naye kawaida, ongea pale ambapo anapokuongelesha na usijiongeze kwenye maongezi. Ringa. Kuwa paka. Paka hupenda wale ambao awawapendi. Watoto wa mabosi wanapendwa na almost kila mtu na watu hujikomba kwao. Mfanye ajiulize kwanini wewe ujikombi kwakwe. Mpotezee ikibidi maana familiarity brings contempt.

Hayo tuyaache. Haya ni mambo machache ya kuzingatia ili upate heshima kutoka kwa watu;

1) Jiheshimu
2) heshimu zaidi
3) usiongee kila lililopp kwenye kichwa chako. Utapoteza mvuto na hatimaye heshima.
4) Simamia ukweli.
5) Shika miiko yako
6) Usifeki
7) Kuwa na imani
8) jufunze kusema hapana
9) fanya vitu kwa muda
10) simamia ahadi yako
11) ukisema hapana, maanisha
12) usijichangenye.
13) usijipendekeze
 
Nim

Nimekuelewa zaid sababu ndo life style yangu
 
Tunaelewa vitu tofauti, na common sense sio common. Naamini hivi ndivyo ulivyoelewa na ninaheshimu mawazo yako.

Obama anaheshimika lakini yupo very charming na anapenda matani.
KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA KUHESHIMIKA NA KUOGOPEKA WE HAPA UNAFUNDISHA ILI MTU AOGOPEKE MARA NYINGI WATU KAMA HAO TUNAWAITA WANOKO TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote tunahitaji heshima. Iwe ni kutoka kwa bosi wetu, wafanyakazi wenzetu, marafiki na familia.

Heshima hutafutwa. Hupewi tuu kama ujataka. Sio karanga za kuonja. Lazima kwanza ujifunze kuheshimu wengine, ujiamini na utengeneze uaminifu.

Nashawishika kuandika haya kwa sababu ya kisa cha kaka yangu alichonielezea na mtoto wa bosi wake. Kwamba alimtumia ujumbe wa mwaka mpya, lakini hakujibu hadi wiki moja baadaye japo alisoma na alionekana mtandaoni.

Kaka aliniuliza mdogo wangu, nifanyeje ili uyu bwana mdogo aniheshimu. Naona hana heshima kabisa kwangu. Wakati ananiuliza haya akawa tayari amesham-block. Nilivoaza kumshauri, nikamwambia kwanza iyo ni mistake, mtoe kwenye block list. Umeonyesha udhaifu na kujipendekeza kwa kumblock maana ulitaka attention yake sana na inakuumiza kama ujaipata. Njia moja, mwonyeshe mtu kwamba, huna interest naye, kuwa naye kawaida, ongea pale ambapo anapokuongelesha na usijiongeze kwenye maongezi. Ringa. Kuwa paka. Paka hupenda wale ambao awawapendi. Watoto wa mabosi wanapendwa na almost kila mtu na watu hujikomba kwao. Mfanye ajiulize kwanini wewe ujikombi kwakwe. Mpotezee ikibidi maana familiarity brings contempt.

Hayo tuyaache. Haya ni mambo machache ya kuzingatia ili upate heshima kutoka kwa watu;

1) Jiheshimu
2) heshimu zaidi
3) usiongee kila lililopp kwenye kichwa chako. Utapoteza mvuto na hatimaye heshima.
4) Simamia ukweli.
5) Shika miiko yako
6) Usifeki
7) Kuwa na imani
8) jufunze kusema hapana
9) fanya vitu kwa muda
10) simamia ahadi yako
11) ukisema hapana, maanisha
12) usijichangenye.
13) usijipendekeze
Hii thread kama inanihusu mimi vile
 
Sitafuti heshima wala sihiitaji sababu haina faida yoyote, ila mimi najiheshimu,
Na Sheria yangu ni ukijiheshimu nakuheshimu.
Ila nashangaa heshima inakuja yenyewe tu,
Ila nahisi wengi wanatumia sheria kama yangu.
 
Back
Top Bottom