Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Hii ndoto inanitesa sana...kila nikijaribu kuisahau ndio inazidi kujirudia akili mwangu. Msaada wenu jamani, nahitaji niwe na amani.
Ndoto yenyewe iko hivi...nimeota nimepata mchumba JF.
Huyo binti ni mzuri kwa kweli anapenda sana kuandika threads za afya. Japokuwa kila sehemu waweza mkuta.
Nimeoteshwa kuwa huyu binti anajiheshimu sana...na amekuwa akitafuta mtu wa kumpa moyo wake amekosa.
Sitaki kusema mengi, najua ameshajijua.
Nimeambiwa pia atakuwa mtu wa 7 kukomenti kwenye hii thread. Na kama atakomenti dume basi yawezakuwa wanaudugu na huyo mrembo
Ni hayo tu...wataalam wa ndoto msaada wenu. Hii ni roho mchafu au vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app