Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,316
- 8,013
Siku hizi ndo zimekuwa jehanam ndogo, wanandoa wanaishi kwa unafiki mkubwa, wengi wao hawapendani.
Wamo kwenye ndoa ila unakuta kila mmoja ana mchepuko nje ambao either anautimizia kila kitu kuliko hata mke wake, ama anawajibika kumpikia, kumfulia na kumfanyia kila kitu kuliko hata mume.
Utakuta ndoa nyingi mke hampi haki yake mume wake hata miezi 4 ila mchepuko anapewa kila akihitaji.
Uzi huu utashauri, kufariji ama kuleta suluhu katika changamoto mbalimbali.
Tupatie changamoto yako nasi tutakupa ushauri mzuri kuweza kuimaliza. Watoto wadogo hawaruhusiwi kuleta comment zao humu. Watu wa mizaha nawasihi mpite mbali na uzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app