Its Only Love, I did All This for Love...

Its Only Love, I did All This for Love...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,229
Kunjaanii,

Time flies and days are numbered like ages...
Keeping in mind this year we have an election as a country, by blinking of na eye you'll be suprised October have arrived.

Leave the salutation apart, back to the topic.... Love... Only Love drives Kasie to be Mahaba Lady....

Basi bwana mwezi wa malavidavi ndo huu, huku na kule kilongalonga kinaita... Kasiba where you at...!!?? (Puzzled and think what to say..)

I say home, then he said, am coming home Baby Kasiba... Please prepare me some delicious African food, I won't eat anything onboard waiting to taste your magical hands.....


Aahahahahahhaaa ananiudhigi but he knows where the buttons are, he knows the right time to press those buttons and I found myself melting in love.... It's only love that can do....nothing else I said to him than three words.....I Love You...!!

Ghafla mtandao ukakata, mtoto wa kike nikaingia bafuni nikaoga nikaenda sokoni. Niliporudi nikaingia tena bafuni nikaondoa jasho la sokoni kisha nikaingia jikoni, akili inaniambia chakula kitamu cha kinyumbani....

Huku na kule hapa na pale nikaivisha msosi wa kwanza, simple but tasty...

IMAG2617.jpg


IMAG2619.jpg


Nikakitizama chakula mahaba yakaniongezeka, nikafungua friji nikaanza fujo upya aahahahahaa

Ile kuambiwa nna magical hands bichwa likawa kuubwaa kama nanilii aahahahahaahaa.

Basi bwana, baada ya kupiga round kadhaa pale jikoni mambo yakawa hivii....

IMAG2622.jpg


IMAG2623.jpg


IMAG2624.jpg


IMAG2626.jpg

Mzuzuu, so yummy...

At the airport I raise my hand to shake with his, he just say come on hug me, aren't you missing me......

I just stay calm smiling and flow wherever he takes me....

Kwa yeye kuwa mfalme nimekuwa malkia, malkia mwenye mahaba Matata....

I did all this for Love, my love to him... Only Love...



To him, I can't say no, Karibu sana nyumbani Mahabuba.

Mmmuaah!!.

Alnuru kwenu nyote.
 
Tusio na wa kuandikia sredi mwezi huu tunakomenti wapi?


Aaahahahahahhaaaa Sugar mamboo,

Najua mengi kati yetu yamepelekwa na upepo, lile la Masana - Airport tafadhali liratibu, usiache nalo lipulizwe na upepo.

To answer your question, you know where my diary is, please comment there using special ink....!!

Kasinde Mahaba.
 
Naruhusiwa kuona wivu hapa hapa au nifunge take away.. nikaonee wivu nyumbani

Aahahahahhaaaa Vincent, kwanini upeleke wivu nyumbani?

Usukumie hapahapa kwa aliyeuleta eehehehehheee.

K' Mahaba.
 
Kiasali wa unyamwezini ndio huyu sasa


Aahahahahhahaahahaa abeeeeh Kiasali, wajionaje na hali?

Yaani hapa nimechokaa macho nayafumbua kwa hisani ya wiper laah yananing'inia nusu mlingoti. Ugeni umenishughulisha mwanamke nikashughulika looh!
 
Eendeleeza part 2 mkiwa mnakula

Sent using Jamii Forums mobile app

Kunta, mambo.. za siku tele!!???

Well, chakula kiliwa, deko likaingia mtu akataka mambo ya kuch kuch otahee. Basi bibi wa watu nikanawa mikono nikaanza kumlisha... looh nimelambwa vidole hadi maharage yakaiva...

Ikabidi tuu nianze kuchora a e i o u kwa kutumia uti wa mgongo.....

Usijesema niendelee na part 3 aahahahahhaaaa.

Kasinde Matata.
 
Kunta, mambo.. za siku tele!!???

Well, chakula kiliwa, deko likaingia mtu akataka mambo ya kuch kuch otahee. Basi bibi wa watu nikanawa mikono nikaanza kumlisha... looh nimelambwa vidole hadi maharage yakaiva...

Ikabidi tuu nianze kuchora a e i o u kwa kutumia uti wa mgongo.....

Usijesema niendelee na part 3 aahahahahhaaaa.

Kasinde Matata.
Poa tu mrembo, alafu uliniachaa kwenye mataa mtoto matata

Fanya basi Part 3 niwepo sugar Kasie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa tu mrembo, alafu uliniachaa kwenye mataa mtoto matata

Fanya basi Part 3 niwepo sugar Kasie

Sent using Jamii Forums mobile app



Aahahahahahaa unanionea Kunta...

Naanzaje kukuacha kwenye mataa wakati nimejaa tele humu kama pishi la mchele?

Aahahaaahahahahahaa Part 3 looh majaribu haya hakyanani...

Mie sio sugars banaa mie ni kizee tuu, utamu kwishney..

Itabidi hiyo part 3 nikusimulie ana kwa ana, fanya hima.
 
Back
Top Bottom