Hapa kweli kuna mapenzi/ndoa?!

Hapa kweli kuna mapenzi/ndoa?!

Vin24vin

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
75
Reaction score
67
Habari wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ili niweze pata ushauri toka kwenu.

Nimefahamiana na huyu binti tangu mwaka 2014, wakati huo akiwa bado ni mwanachuo na mimi nikiwa muajiriwa (kazini) tayari. Nilimpenda sana kiasi ya kuweza kupunguza idadi ya mabinti niliokuwa na urafiki nao wa kimapenzi kwa sababu tu huyu binti ndie alieuaminisha moyo wangu kuwa ndio "the one". Kwa kuwa nina kipato, hakika hakuwahi kukosa hizi huduma za mwanaume kwa mpenzi wake. Na hakika katika urafiki wetu wote amekuwa/alikuwa kweli ni binti sahihi kwangu!

Nia yangu ya dhati ya kumuoa aliifahamu kadiri siku zilivyokuwa zinasonga na ombi lake kwangu lilikuwa nimpe muda amalize chuo ndipo taratibu zingine zifuate.

Hakika mpaka naandika uzi huu ni kwamba siuelewi mwenendo wa mwenzangu.
Mwaka jana mwezi wa 06 niliweza kwenda kwao na kuchumbia rasmi na ilipofika mwezi wa 11 nikapeleka mahari kama ambavyo familia zote mbili zilikubaliana na ka-engagement party kalifanyika.

"November" hiyo hiyo familia yangu ikatangaza tarehe ya harusi kuwa ingekuwa ni mwezi wa tano 2020.

Kutokana na mambo makubwa mawili ya kifamilia ya upande wangu yanayonikabili na mimi ndio nikiwa "provider" wa yote hayo, sikuwa na budi ya kufanya kikao cha dharura na familia yangu mwanzoni mwa mwezi December mwaka jana, nadhima kuu ikiwa ni ku-review ila tarehe ya harusi ambayo tuliisema kule ukweni mwanzoni mwa mwezi wa 11 mwaka jana, 2019.

Familia yangu ilinielewa na kufikia maamuzi ya kuwajuza wakwe wetu kwa kuwaeleza kiundani zaidi, na kuwapa taarifa kuwa tutasogeza harusi kutoka mwezi wa 5,2020 uliopangwa awali na sasa harusi itakuwa ni mwezi wa 08,2020.
Sasa cha kushangaza ni kwamba nikashangaa ghafla mwenzangu akaanza kuninunia bila sababu ila baada ya kuongea nae kwa kirefu akanieleza sababu kuwa hana uhakika na mimi kama kweli nitamuoa na kwamba nimemdhalilisha kwao kuwa ataonekana ana mume mtarajiwa asiye na mipango na kwanini tulishatangaza mwezi wa ndoa ilhali tulikuwa tunajua tutakuja kuibadili (hapa ndio niliishiwa nguvu maana nafahamu matatizo huwa hayaji kwa taarifa).

Na hivi niandikapo uzi huu wanajamvi, ni kwamba tangu mwezi wa 12 katikati ya mwaka jana na mpaka leo hii, mwezi huu wa 2,2020, tumewasiliana kwenye simu mara mbili tu na ni kwa msg na ambazo wala hazihusu kwanini yeye amekuwa hajibu msg zangu na wala haihusu yeye kunijibu kuwa kwanini amekuwa hapokei simu zangu!

Wanajukwaa, naombeni ushauri wenu katika hili, nini nifanye? Pana mapenzi tena hapa?

Pana ndoa kweli hapa?
 
Achana nae huyo mkuu tafuta demu mwingine mwambie mwezi wa 5 ndoa, mfunge ndoa muendelee na maisha mengine,
Ila huyo atakupotezea muda bado hajawa tayari kuingia kwenye ndoa yaani kulala bila nguo(uchi)
 
mahusiano yanashikiliwa na mawasiliano

ningekua ni wewe ningefanya kama alivyofanya japo moyoni vingeniuma ila sina namna

kuna vitu Mungu hukuoneshea mapema tu kua hapo ulipo sipo lakini tuna kawaida ya kujipumbaza na kupuuza mpaka yatukute ya kutukuta.
 
Samahani mkuu....
Hivi hili nalo unaliombea ushauri..??
Yaani kama binti hapokei sim zako, unataka sisi tukushauri kipi hasa..??
Ama basi nikushauri tu ukamfungulie mashtaka na um-buruze mahakamani kwa kosa la kukulaghai na kukupotezea muda, pamoja na kosa la kutokupokea sim yako because communication is the key of everything.
 
Habari wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ili niweze pata ushauri toka kwenu.
Nimefahamiana na huyu binti tangu mwaka 2014, wakati huo akiwa bado ni mwanachuo na mimi nikiwa muajiriwa (kazini) tayari. Nilimpenda sana kiasi ya kuweza kupunguza idadi ya mabinti niliokuwa na urafiki nao wa kimapenzi kwa sababu tu huyu binti ndie alieuaminisha moyo wangu kuwa ndio "the one". Kwa kuwa nina kipato, hakika hakuwahi kukosa hizi huduma za mwanaume kwa mpenzi wake. Na hakika katika urafiki wetu wote amekuwa/alikuwa kweli ni binti sahihi kwangu!
Nia yangu ya dhati ya kumuoa aliifahamu kadiri siku zilivyokuwa zinasonga na ombi lake kwangu lilikuwa nimpe muda amalize chuo ndipo taratibu zingine zifuate.
Hakika mpaka naandika uzi huu ni kwamba siuelewi mwenendo wa mwenzangu.
Mwaka jana mwezi wa 06 niliweza kwenda kwao na kuchumbia rasmi na ilipofika mwezi wa 11 nikapeleka mahari kama ambavyo familia zote mbili zilikubaliana na ka-engagement party kalifanyika.
"November" hiyo hiyo familia yangu ikatangaza tarehe ya harusi kuwa ingekuwa ni mwezi wa tano 2020.
Kutokana na mambo makubwa mawili ya kifamilia ya upande wangu yanayonikabili na mimi ndio nikiwa "provider" wa yote hayo, sikuwa na budi ya kufanya kikao cha dharura na familia yangu mwanzoni mwa mwezi December mwaka jana, nadhima kuu ikiwa ni ku-review ila tarehe ya harusi ambayo tuliisema kule ukweni mwanzoni mwa mwezi wa 11 mwaka jana, 2019.
Familia yangu ilinielewa na kufikia maamuzi ya kuwajuza wakwe wetu kwa kuwaeleza kiundani zaidi, na kuwapa taarifa kuwa tutasogeza harusi kutoka mwezi wa 5,2020 uliopangwa awali na sasa harusi itakuwa ni mwezi wa 08,2020.
Sasa cha kushangaza ni kwamba nikashangaa ghafla mwenzangu akaanza kuninunia bila sababu ila baada ya kuongea nae kwa kirefu akanieleza sababu kuwa hana uhakika na mimi kama kweli nitamuoa na kwamba nimemdhalilisha kwao kuwa ataonekana ana mume mtarajiwa asiye na mipango na kwanini tulishatangaza mwezi wa ndoa ilhali tulikuwa tunajua tutakuja kuibadili (hapa ndio niliishiwa nguvu maana nafahamu matatizo huwa hayaji kwa taarifa).
Na hivi niandikapo uzi huu wanajamvi, ni kwamba tangu mwezi wa 12 katikati ya mwaka jana na mpaka leo hii, mwezi huu wa 2,2020, tumewasiliana kwenye simu mara mbili tu na ni kwa msg na ambazo wala hazihusu kwanini yeye amekuwa hajibu msg zangu na wala haihusu yeye kunijibu kuwa kwanini amekuwa hapokei simu zangu!
Wanajukwaa, naombeni ushauri wenu katika hili, nini nifanye? Pana mapenzi tena hapa? Pana ndoa kweli hapa?
Mzee baba hawa viumbe ni ngumu kuwaelewa kuna muda anaweza kuwa anajua magumu unayopitia na umempa maelezo ya kueleweka ila akakununua kama vile pesa uwa tunazidownload.
Mimi washanichosha siku hizi ukidondoka na kudondokea maana toka yanikute niko mguu nje mguu ndani
 
Ni kweli kabisa mkuu, kuwaelewa sijui kunahitaji nini!
 
mahusiano yanashikiliwa na mawasiliano

ningekua ni wewe ningefanya kama alivyofanya japo moyoni vingeniuma ila sina namna

kuna vitu Mungu hukuoneshea mapema tu kua hapo ulipo sipo lakini tuna kawaida ya kujipumbaza na kupuuza mpaka yatukute ya kutukuta.
Sahihi kabisa!
 
Habari wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ili niweze pata ushauri toka kwenu.
Nimefahamiana na huyu binti tangu mwaka 2014, wakati huo akiwa bado ni mwanachuo na mimi nikiwa muajiriwa (kazini) tayari. Nilimpenda sana kiasi ya kuweza kupunguza idadi ya mabinti niliokuwa na urafiki nao wa kimapenzi kwa sababu tu huyu binti ndie alieuaminisha moyo wangu kuwa ndio "the one". Kwa kuwa nina kipato, hakika hakuwahi kukosa hizi huduma za mwanaume kwa mpenzi wake. Na hakika katika urafiki wetu wote amekuwa/alikuwa kweli ni binti sahihi kwangu!
Nia yangu ya dhati ya kumuoa aliifahamu kadiri siku zilivyokuwa zinasonga na ombi lake kwangu lilikuwa nimpe muda amalize chuo ndipo taratibu zingine zifuate.
Hakika mpaka naandika uzi huu ni kwamba siuelewi mwenendo wa mwenzangu.
Mwaka jana mwezi wa 06 niliweza kwenda kwao na kuchumbia rasmi na ilipofika mwezi wa 11 nikapeleka mahari kama ambavyo familia zote mbili zilikubaliana na ka-engagement party kalifanyika.
"November" hiyo hiyo familia yangu ikatangaza tarehe ya harusi kuwa ingekuwa ni mwezi wa tano 2020.
Kutokana na mambo makubwa mawili ya kifamilia ya upande wangu yanayonikabili na mimi ndio nikiwa "provider" wa yote hayo, sikuwa na budi ya kufanya kikao cha dharura na familia yangu mwanzoni mwa mwezi December mwaka jana, nadhima kuu ikiwa ni ku-review ila tarehe ya harusi ambayo tuliisema kule ukweni mwanzoni mwa mwezi wa 11 mwaka jana, 2019.
Familia yangu ilinielewa na kufikia maamuzi ya kuwajuza wakwe wetu kwa kuwaeleza kiundani zaidi, na kuwapa taarifa kuwa tutasogeza harusi kutoka mwezi wa 5,2020 uliopangwa awali na sasa harusi itakuwa ni mwezi wa 08,2020.
Sasa cha kushangaza ni kwamba nikashangaa ghafla mwenzangu akaanza kuninunia bila sababu ila baada ya kuongea nae kwa kirefu akanieleza sababu kuwa hana uhakika na mimi kama kweli nitamuoa na kwamba nimemdhalilisha kwao kuwa ataonekana ana mume mtarajiwa asiye na mipango na kwanini tulishatangaza mwezi wa ndoa ilhali tulikuwa tunajua tutakuja kuibadili (hapa ndio niliishiwa nguvu maana nafahamu matatizo huwa hayaji kwa taarifa).
Na hivi niandikapo uzi huu wanajamvi, ni kwamba tangu mwezi wa 12 katikati ya mwaka jana na mpaka leo hii, mwezi huu wa 2,2020, tumewasiliana kwenye simu mara mbili tu na ni kwa msg na ambazo wala hazihusu kwanini yeye amekuwa hajibu msg zangu na wala haihusu yeye kunijibu kuwa kwanini amekuwa hapokei simu zangu!
Wanajukwaa, naombeni ushauri wenu katika hili, nini nifanye? Pana mapenzi tena hapa? Pana ndoa kweli hapa?
Mbona unajipa mawazo ya kiulazma ewe kijana wa kileo? Kama bado unampenda unasubiri hadi lini ufunge nae ndoa?
 
Na mimi nipo kwenye mood hizo brother... natumia energy kubwa sana kumsahau aliekua mpnz wangu. ila jitahidi kuutafuta ukweli kwake, zungumza nae mwambie msimamo wako... aki reject usipepese macho moja kwa moja kachukue mahari yako... asikuletee upuuzi hapa
 
Nakuelewa sana kaka mkubwa! Wanaume huwa tunateswa sana kwa kuwekeza kwa mwanamke anaejionesha kuwa ni 'wife material' ilhali sio.
 
Habari wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ili niweze pata ushauri toka kwenu.
Nimefahamiana na huyu binti tangu mwaka 2014, wakati huo akiwa bado ni mwanachuo na mimi nikiwa muajiriwa (kazini) tayari. Nilimpenda sana kiasi ya kuweza kupunguza idadi ya mabinti niliokuwa na urafiki nao wa kimapenzi kwa sababu tu huyu binti ndie alieuaminisha moyo wangu kuwa ndio "the one". Kwa kuwa nina kipato, hakika hakuwahi kukosa hizi huduma za mwanaume kwa mpenzi wake. Na hakika katika urafiki wetu wote amekuwa/alikuwa kweli ni binti sahihi kwangu!
Nia yangu ya dhati ya kumuoa aliifahamu kadiri siku zilivyokuwa zinasonga na ombi lake kwangu lilikuwa nimpe muda amalize chuo ndipo taratibu zingine zifuate.
Hakika mpaka naandika uzi huu ni kwamba siuelewi mwenendo wa mwenzangu.
Mwaka jana mwezi wa 06 niliweza kwenda kwao na kuchumbia rasmi na ilipofika mwezi wa 11 nikapeleka mahari kama ambavyo familia zote mbili zilikubaliana na ka-engagement party kalifanyika.
"November" hiyo hiyo familia yangu ikatangaza tarehe ya harusi kuwa ingekuwa ni mwezi wa tano 2020.
Kutokana na mambo makubwa mawili ya kifamilia ya upande wangu yanayonikabili na mimi ndio nikiwa "provider" wa yote hayo, sikuwa na budi ya kufanya kikao cha dharura na familia yangu mwanzoni mwa mwezi December mwaka jana, nadhima kuu ikiwa ni ku-review ila tarehe ya harusi ambayo tuliisema kule ukweni mwanzoni mwa mwezi wa 11 mwaka jana, 2019.
Familia yangu ilinielewa na kufikia maamuzi ya kuwajuza wakwe wetu kwa kuwaeleza kiundani zaidi, na kuwapa taarifa kuwa tutasogeza harusi kutoka mwezi wa 5,2020 uliopangwa awali na sasa harusi itakuwa ni mwezi wa 08,2020.
Sasa cha kushangaza ni kwamba nikashangaa ghafla mwenzangu akaanza kuninunia bila sababu ila baada ya kuongea nae kwa kirefu akanieleza sababu kuwa hana uhakika na mimi kama kweli nitamuoa na kwamba nimemdhalilisha kwao kuwa ataonekana ana mume mtarajiwa asiye na mipango na kwanini tulishatangaza mwezi wa ndoa ilhali tulikuwa tunajua tutakuja kuibadili (hapa ndio niliishiwa nguvu maana nafahamu matatizo huwa hayaji kwa taarifa).
Na hivi niandikapo uzi huu wanajamvi, ni kwamba tangu mwezi wa 12 katikati ya mwaka jana na mpaka leo hii, mwezi huu wa 2,2020, tumewasiliana kwenye simu mara mbili tu na ni kwa msg na ambazo wala hazihusu kwanini yeye amekuwa hajibu msg zangu na wala haihusu yeye kunijibu kuwa kwanini amekuwa hapokei simu zangu!
Wanajukwaa, naombeni ushauri wenu katika hili, nini nifanye? Pana mapenzi tena hapa? Pana ndoa kweli hapa?
Teyar keshadakwa huyo hapo anatafuta sababu ya kukubwaga ili kwao asionekane kaharibu yeye kuwa Makin usimradhimishe kunywa maji ya kwako ili Hali Alie sababisha kiu Ni mwanaume mwingne

kilicho akilini kitumie
 
Naikubali sana nyagi. nikionaga vagi silielewagi. naitinga 2baba tuwili natimba namtukana mamba na mto nauvuka kinachokusumbua ni zongo
 
Kaka pole ila mm ni mwanamke nakushauri huyo mwanamke atakusumbua sana , huyo analake jambo ,atakuwa kajazwa maneno na ndugu zake !! ...

Hana msimamo hajui nini maana ya kukwama hata kama unamoenda ujue hilo sio fungu lako sio kila uhusiano huwa unaishia kwenye ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu....
Hivi hili nalo unaliombea ushauri..??
Yaani kama binti hapokei sim zako, unataka sisi tukushauri kipi hasa..??
Ama basi nikushauri tu ukamfungulie mashtaka na um-buruze mahakamani kwa kosa la kukulaghai na kukupotezea muda, pamoja na kosa la kutokupokea sim yako because communication is the key of everything.
Duuuuh
 
Back
Top Bottom